Maombi yenu jamani. Nia yetu in moja adui wetu ni mmoja
Post yako inaonyesha we mgeni jukwaa hili, ebu pita hivi [emoji117] [emoji117]Ha ha ha! Mkuu naomba nikupe chalenji moja ya kunionesha ticket ya hii bet, samahani lakini?
Ninaomba unitutmie picha ya Rectum yako...samahani lakinHa ha ha! Mkuu naomba nikupe chalenji moja ya kunionesha ticket ya hii bet, samahani lakini?
Post yako inaonyesha we mgeni jukwaa hili, ebu pita hivi [emoji117] [emoji117]
Ninaomba unitutmie picha ya Rectum yako...samahani lakin
Cha msingi chukua odds weka stake unayoimudu , humu ndani we don care abt stake za watu coz tunatofautiana uwezoBasi mkuu, naomba nibaki hapa hapa!
Cha msingi chukua odds weka stake unayoimudu , humu ndani we don care abt stake za watu coz tunatofautiana uwezo
Mkuu Plzen huyo ninawasiwasi nae....but ni maoni yng tuNimetengeneza kokoro za mechi za kuanzia ijumaa, jumamosi na jumapili. Naombeni ushauri wenu. Team nilizozichagua ni hizi
PSG odd 1.40
Anderletch odd 1.67
Hebei CFFC odd 1.75
Deportivo saprissa odd 1.44
Victoria Plzen odd 1.62
Brondby IF odd 1.67
NAC Breda odd 1.44
Ajax odd 1.22
PSV odd 1.30
Man UTD odd 1.75
Bayern Munich odd 2.30
Roma odd 1.40
Juventus odd 1.70
Barcelona odd 1.70
Club brugge odd 1.30
Total odds: 680.36
Stake: 10 000
Total return: 5,580,718.85
Victoria Plzen alinichania mkeka juzi ila bado nina imani naye.
USHAURI PLEASE
Dau kubwa sio sababu ya wewe kumuamini, inawezekana ye anavyoichukulia 1M ni sawa na we unavyoichuiulia 5000/= TUNATOFAUTIANA UWEZO, cha muhimu ni kujua uwezo wako ni upi na usizidishe hapo, kumbuka hii ni bahati nasibu hata mtu akiweka nyumba ujue anajaribu bahati tu sio uhakika 100%.
Ndo maana nasema we ni mgeni, wa kusoma stake zake tunazijua ndio maana hujaona mwingine aliyeulizia , walishakuja watu wakauliza kama wewe na wakapewa ushahidi so kua na amani kabisa , hatudanganyani humu ndani.Humu ndani tuna-assume kwamba adui yetu ni mmoja, ukiweka dau la mil 1 ukaliwa lazima watu wa sympathize kwa kukupa pole hasa ukilinganisha na salio uliloweka.
So inakuwaje tunapoteza muda kukupa pole eti umepoteza 1,500,000 kumbe dau uliloconfirm ni 15,000?
Humu ndani tuna-assume kwamba adui yetu ni mmoja, ukiweka dau la mil 1 ukaliwa lazima watu wa sympathize kwa kukupa pole hasa ukilinganisha na salio uliloweka.
So inakuwaje tunapoteza muda kukupa pole eti umepoteza 1,500,000 kumbe dau uliloconfirm ni 15,000?
Ndo maana nasema we ni mgeni, wa kusoma stake zake tunazijua ndio maana hujaona mwingine aliyeulizia , walishakuja watu wakauliza kama wewe na wakapewa ushahidi so kua na amani kabisa , hatudanganyani humu ndani.
Naombeni samahani halikuwa lengo langu kuwamislead lakini mwanzoni niliweka hiyo tiketi ya option ngumu sikuilipia. Baadae nilivyopata ushauri humu nikampa Poland win na sikurudi humu tena.
Asbh naamka nakuta mzigo. Kila bet mm huwa naiweka humu na single bet only. Mhindi alinila sana enzi za kuweka elfu kumi eti nile milioni tatu. Sasa hivi nakuwa na uhakika hata kama sina hela ya mboga naingia mkeka bet naangalia the soonest mechi naweka bet natia buku 20 napata faida buku saba au ten natuma hela nyumbani
Naendelea kuprove people wrong
Lkn naombeni pale nilipokosea nikasema laki tano badala ya hamsini au laki moja badala ya kumi tusameheane hizo ni typing errorView attachment 332767View attachment 332767
Mkuu leo vipiHahaha ... kwamba wengine wanaongeza '000
Ha ha ha! Mkuu naomba nikupe chalenji moja ya kunionesha ticket ya hii bet, samahani lakini?