Wadau, BankoCep anasemaje leo....? [emoji4][emoji4]
Hawa jamaa jana wamepredict 11 wamwpatia 8 ..kwa hyo chagua chache hapaWadau, BankoCep anasemaje leo....? [emoji4][emoji4]
Amenihusu huyo sasa MTU wa Championship unapigwa na MTU wa league 2.... Basi 2+ nayo holaMkuu mie nimekosa 1.6m kisa tu ipiswich kagongwa na accrington kushindwa kutoa 2+
Duuuh ..... Raimundo mgeni!!!!???? MTU tupo nae hmwaka wa tatu huu.... Yaani wewe ndio mgeni humu... Hata mwaka hunaPost yako inaonyesha we mgeni jukwaa hili, ebu pita hivi [emoji117] [emoji117]
Jamaa anakuona mgeni hapa kijiweni. Ajajua kuwa wewe ni mkongwe.Ngoja nikwambie kitu mkuu, unapoweka bet halafu ukaweka dau la Mil 1 na zaidi unawapa confidence followers kuufata mkeka wako kwa sababu wanauamini kwa sababu ya dau unalo kuwa umeliweka.
So, kama ni lazima uweke dau, basi weka ticket ambayo umei-confirm; otherwise weka timu tu bila dau.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuuh ..... Raimundo mgeni!!!!???? MTU tupo nae hmwaka wa tatu huu.... Yaani wewe ndio mgeni humu... Hata mwaka huna
Braza naomba wasamee bure maana hata Rockcity native akisema a post Leo atonekana njuka tu wakati ndio muanzisha Uzi miaka mi3 iliyopita.... Na haya masuala tulishaongea humu weka timu weka jumla odds ni ngapi... Unapoweka na dau 1M afu sio "tiketi iliyolipiwa" ni tatizo .....Ngoja nikwambie kitu mkuu, unapoweka bet halafu ukaweka dau la Mil 1 na zaidi unawapa confidence followers kuufata mkeka wako kwa sababu wanauamini kwa sababu ya dau unalo kuwa umeliweka.
So, kama ni lazima uweke dau, basi weka ticket ambayo umei-confirm; otherwise weka timu tu bila dau.
Wengine tunajitahidi tu kupitapita humu ila haya mawasapu sijui mara matusi mara unatupia mkeka watu wanaucheka baada ya kuuchambua IMEONDOA VICHWA VINGI SANA SIKU HIZI WANAKIMBIZA MHINDI KIMYA KIMYA .....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mi nilivoona hivo nikajua kaja leo.
Shkamoo bwana Raimundo [emoji119] , samahani sana kukuita kuku mgeni.
Aliwahi kukiri kwamba anaongezaga 0 moja kwenye stake, so naona bado anaedeleza huo mtindo, siyo mbaya anyway, ni wish ya kila mmoja kula hela nyingi humu jukwaani. Nimeweka posts alizoomba samahani.
Braza naomba wasamee bure maana hata Rockcity native akisema a post Leo atonekana njuka tu wakati ndio muanzisha Uzi miaka mi3 iliyopita.... Na haya masuala tulishaongea humu weka timu weka jumla odds ni ngapi... Unapoweka na dau 1M afu sio "tiketi iliyolipiwa" ni tatizo .....
Wengine tunajitahidi tu kupitapita humu ila haya mawasapu sijui mara matusi mara unatupia mkeka watu wanaucheka baada ya kuuchambua IMEONDOA VICHWA VINGI SANA SIKU HIZI WANAKIMBIZA MHINDI KIMYA KIMYA .....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mi nilivoona hivo nikajua kaja leo.
Shkamoo bwana Raimundo [emoji119] , samahani sana kukuita kuku mgeni.
Ha ha ha, usijali mkuu. Nilielewa tu ni kwa sababu sijatia neon humu siku nyingi, toka NBA iishe. Ila kila siku lazima niangalie wadau wanaendeleaje ikibidi kama nina chochote nachukua tip.
Pamoja mkuu.
Heshima kwako mkuu! Kitambo sana cjakuona[emoji12]Ha ha ha, usijali mkuu. Nilielewa tu ni kwa sababu sijatia neon humu siku nyingi, toka NBA iishe. Ila kila siku lazima niangalie wadau wanaendeleaje ikibidi kama nina chochote nachukua tip.
Pamoja mkuu.
Mkuu leo vipi