Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huu mchezo sometimes ... daaah !! ... eti timu zinafungana 1-1 ndani ya dk 10 za mwanzo wa mchezo af goli zinasimama hizo hizo dk 90 ... km sio kutumwa na Kanjibah ni nini?

upload_2016-8-10_15-34-17.png
 
Kwa jina lako ni lazima ungeulizia hiko ulichoulizia!
Sorry chief nilishazoea vijana wa whatsapp wanasumbua humu, Sikujua goal la kuuliza tusamehane coz hatukujuana...
tusonge mbele Chief. unajua mtu akitumia reference nyingi ulie shallow unamuona nae yuko shallow kumbe yupo deep beyond ur level.
 
Huu mchezo sometimes ... daaah !! ... eti timu zinafungana 1-1 ndani ya dk 10 za mwanzo wa mchezo af goli zinasimama hizo hizo dk 90 ... km sio kutumwa na Kanjibah ni nini?

[ATTACA]379054[/ATTACH]

Kawaida tu mbona Bate juzi katia 2-0 dkk13 mechi ikaisha 2-0 .... THIS GAME DOES NOT NEED ANGRY
 
Kimbiza kimyakimya .... Ndipo tunapoelekea .... Ukitupia mkeka inaelekea kuna watu wanatuombea mabaya .... KWA NINI ALE YEYE KABAKIZA MECHI MBILI ALIWE TU ... inawezekana hilo lipo ....
Sio kweli nadhani wale mliokuwepo jana kuna jamaa alisema kuna timu kama 75 meridian wameweka sasa tatizo lipo wapi mkuu, au taarifa gani nyingne kwamba tuseme kama tulimfuata au hatukumfuata
 
Niliuona .... Nimejibu "GENERAL" sio kwa mkeka huyo tu.... Kuna pipo wao wakila tu ndio wanatupia Mikeka na lilishaongelewa sana .... Kama haukuweka muda wa kucheza upo UNAWEKA WA NINI UMESHASHINDA!!??? ..... Ni kwa wote neno langu sio sheria lakini ni bora ubaki na ushindi wako kimyakimya kama ulivyocheza kimyakimya....
 
Hahahahaaaa haya bhana
 
asante!!
 
Back
Top Bottom