Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Niliuona .... Nimejibu "GENERAL" sio kwa mkeka huyo tu.... Kuna pipo wao wakila tu ndio wanatupia Mikeka na lilishaongelewa sana .... Kama haukuweka muda wa kucheza upo UNAWEKA WA NINI UMESHASHINDA!!??? ..... Ni kwa wote neno langu sio sheria lakini ni bora ubaki na ushindi wako kimyakimya kama ulivyocheza kimyakimya....
upo sahihi mkuu nakuunga mikono yote aisee kama kweli hukuweka mapema watu wakadesa yanini ulete mrejesho
 
wazee wa mikokoro mpogooooooo????????

View attachment 378984
View attachment 378985
Tupooo jingine hiloo
1470835311496.jpg
 
Kawaida tu mbona Bate juzi katia 2-0 dkk13 mechi ikaisha 2-0 .... THIS GAME DOES NOT NEED ANGRY


Hahahaha ... hatareee sn. Ndo maana mimi mchezo wa kubana magoli a.k.a Under huwa siupendi, basi tu. Maana goli la kwanza limeingia dk ya 7 ... nkaona ohoooo, nianze kubana kende. Bahati nzr la pili likaja dk 10 ... maana ngejiumiza bure tu
 
Kimbiza kimyakimya .... Ndipo tunapoelekea .... Ukitupia mkeka inaelekea kuna watu wanatuombea mabaya .... KWA NINI ALE YEYE KABAKIZA MECHI MBILI ALIWE TU ... inawezekana hilo lipo ....


Hahahah ... hilo nalo neno, mi mara nyingi nikiweka mkeka hadharani hapa huwa sili ..naishia kuliwa.
 
Admira prague vs Hradec kralove.
Wakuu hebu itizameni hio match
Ligi ya Czech republic (Mol final )
 
naombeni kuuliza hivi kwenye hii option ya NG ikitoka matokeo ni 0:0 nakua nmepigwa ama
 
Back
Top Bottom