Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sorry chief nilishazoea vijana wa whatsapp wanasumbua humu, Sikujua goal la kuuliza tusamehane coz hatukujuana...
tusonge mbele Chief. unajua mtu akitumia reference nyingi ulie shallow unamuona nae yuko shallow kumbe yupo deep beyond ur level.

Pamoja mkuu, mbona nalielewa hili jukwaa letu.

Kauli mbiu ya kwanza huwa nikueleweshana, ya pili ni kwamba tunagombana na adui mmoja.
 
Barca over 1.5 goals 1H odds 1.67
valencia over 0.5 goals 1H odds 1.14
Basel over 0.5 goals 1H odds 1.26
Total odds 2.4
stake 100k
 
Heshima kwako mkuu! Kitambo sana cjakuona[emoji12]

Jamaa anakuona mgeni hapa kijiweni. Ajajua kuwa wewe ni mkongwe.

Ukihama mji baadae ukarudi ukakuta kuna wapangaji wengine lazima wakuone mgeni!

Muhimu ni kukaribishana tu na kuendeleza lichama letu.

Inabidi Muhindi na Mzungu kuwaundia UKUTA!
 
Ukihama mji baadae ukarudi ukakuta kuna wapangaji wengine lazima wakuone mgeni!

Muhimu ni kukaribishana tu na kuendeleza lichama letu.

Inabidi Muhindi na Mzungu kuwaundia UKUTA!
[emoji1] [emoji2] [emoji23]
 
Rey habari mkuu za masiku chief huku ni kipigo na kupiga tuu kwa kwenda mbele
 
huu ugonjwa wa meridian ni tatizo sana server error .... ndipo nichukiapo sanaaaaa......
 
Back
Top Bottom