Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

INPLAY
Borac Cacak vs Radnicki Nis
0 - 0

60:08'

2nd Half

TIPS CORRECT SCORE 0-0/ UNDER 0.5
0DD 2.0
 
Si Olympic hiyo bab? ... ni senior teams aisee, japo majembe mengine kma Higuain, Messi etc hawapo.
Hao wa Olympic ni under 23 ni wachezaji watatu tu wenye umri zaid ya huo ndio wanaruhusiwa...kwahiyo hakuna mbabe huko..
 
in play 2
 

Attachments

  • upload_2016-8-10_22-34-39.png
    upload_2016-8-10_22-34-39.png
    6.3 KB · Views: 36
Nilikua "likizo" kidogo,hiv mkeka bet analipa team ulizo win individually?
Sababu nimeweka mkeka salio likaisha badae nakuta hela imeongezeka,na hiyo ticket normally ilitakiwa iwe "bet lost".
 
Nilikua "likizo" kidogo,hiv mkeka bet analipa team ulizo win individually?
Sababu nimeweka mkeka salio likaisha badae nakuta hela imeongezeka,na hiyo ticket normally ilitakiwa iwe "bet lost".

Halipi individually Match.....Inabidi uangalie vizuri tu kilichofanya iongezeke.
 
Hao wa Olympic ni under 23 ni wachezaji watatu tu wenye umri zaid ya huo ndio wanaruhusiwa...kwahiyo hakuna mbabe huko..


duuh ... sigusi tena huko! hii spidi ya kumrudishia Kanji hela ni mwendo kasi !

 
  • Thanks
Reactions: pri
Maskini roma ameninyima hela daaah ngoja nilale tu aisee, kumwamini kote gemu inashindwa kutoa 2+
 
Hao wa Olympic ni under 23 ni wachezaji watatu tu wenye umri zaid ya huo ndio wanaruhusiwa...kwahiyo hakuna mbabe huko..
wakuu nimefuatilia hizi mechi za olympiki kwa muda nimegundua kwamba ni MAJIPU makubwa sana....hazitofautiani na NDONDO CUP....sasa itabidi niwe nazipita kama vile sizioni.
 
Back
Top Bottom