Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahah ... nipo mkuu. Muda si mrefu nakuja na kokolo langu la 2+ km kawa. Jana nimepishana na hela sn.

Kaka mm naelekea kustaafu tena. Jumatatu na jumanne zilikuwa chungu sana kwangu, ngoja nione Leo itakuwaje
 
Buddy we unaish online husemwi?


Hahahah, JF kupitia hii thread saiv imekuwa sehemu ya majukumu yangu mkuu ... halipiti saa moja sijachungulia humu. Sehemu inapopatikana rizki 'riziki' lazima tutie jam
 
Kaka mm naelekea kustaafu tena. Jumatatu na jumanne zilikuwa chungu sana kwangu, ngoja nione Leo itakuwaje


Mimi jana Kanji kachukua ile Bonus yake ya majuzi ... hehehe, hatareee sn 100K nimemrudishia jana.
 
Wednesday 10.08.2016
********************
Northern Ireland - Premier League
Ballymena Utd vs Glenavon
Tip: 2&Over2.5
Odds: 2.09
 
Wednesday 10.08.2016
********************
Northern Ireland - Premier League
Carrick Rangers vs Crusaders
Tip: Over2.5
Odds: 1.40
 

Odds
36.56 ... ama zake ama zangu. Nimemaliza kwa leo.

upload_2016-8-10_14-47-57.png
 
Back
Top Bottom