Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna muda nafakali nabaki kujisonya tu,,,, hivi kweli nyota zetu ni chafu kiasi hiko kwamba vichwa vyote hivi tunakosa mechi nne tu japo tatu au nne za mitaji!!!

Kazi iko
Mechi 4 tu zinapatikana, tatizo wengi wameshazoea matreni... Kwahiyo mtu anakua hakuelewi ukimpa odds 2/3 utakuta kazoea odds kuanzia 100. Ila silaumu, mimi mwenyewe nilianzia kwenye matreni, shida ni kwamba mtu anabaki alipo hataki ku-take risk na kupiga hatua. Unakuta mtu kabetia treni kapata 100K, kesho yake anatoa 90K anaacha 10K abetia treni nyingine 10 !!! Wakati anayo option ya kubetia 40,000 kwa mikeka 2 ya odds zisizozidi 4 na akapata faida nzuri tu. Ishu ni kwamba mtu anataka faida ya mamilioni kwa papo hapo ambayo ni ngumu sana!
 
Kuna muda nafakali nabaki kujisonya tu,,,, hivi kweli nyota zetu ni chafu kiasi hiko kwamba vichwa vyote hivi tunakosa mechi nne tu japo tatu au nne za mitaji!!!

Kazi iko
Hakuna kitu kinachoitwa nyota kwenye kamari....huu ni mchezo wa probability ...tunadhani kuwa itakuwa hivi au vile ila wanaocheza ni wachezaji...na kuna vitu vingi vinaathiri huu mchezo.

Mfano Man City akicheza na timu inayoshika nafasi ya chini katika ligi...asilimia kubwa ya watu hudhani kuwa ataibuka na ushindi ila matokeo yanaweza kuja ya kushangaza ukaona man city kachezea
 
GROUP KUPOA:-

Sio kwamba limepoa,ila legends wapo.Na wanapita wakiangalia tu

Tatizo utoto wenye ujinga Mwingi ulikuwemo humu,sasa watu wanatizama hao watoto Ili walikuwa na kutambua kwamba GREAT THINKERS wanawaona wapuuuuzi then Jukwaa litarudi upya.

Ukichanganya na Utapeli wa vijana wenye akili ndogo wa FB kuvamia huku wakiamini kuna watu wa kupiga.Hili nalo limefanya watu kutuliaa Ili kuwa zoom tu Ili tuone mwisho Wao na njaa zao.

But all members are still on betting duties muda utafika mdogo mdogo Watarudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…