Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Shoot toward goal ni jumla ya on target, off target na blocked shoots kwa pamoja ila off target ni zile shoot zimeenda nje ya lango tu.
Sawa lakn hapo umesem ni total ya on target off target na blocked shots je huon kam off target n zile zilizoenda nje y goal kwnn tunaiita toward the goal
 
Dah ukiweka mkeka usifatilie iwe ni pata potea Jana nilitakiwa nichape 22k iliyobaki casapia nikaona mambo yasiwe mengi cash out wamenipa 19k ila nivyobofya cashout nikashangaa 17k dah huyu kanji mavi Sana alafu kela limetoa kha!


Your browser is not able to display this video.
 
Ukipenda kimoja nichek Whatsapp tufanye kazi +255623553450

1.Jinsi ya kuhack account ya Instagram ya mtu yoyote πŸ™Œ.

2.jinsi ya kuhack camera πŸ“Έ ya cm ya mtu mwingine kwa kumtumia link,, akiifungua tu Hana bahati πŸ“±πŸ˜‚.

3.jinsi ya kutengeneza Whatsapp bot πŸ€– kwa wale hawajui Whatsapp bot inavyofanya kazi nichek Whatsapp nikupe maelezoπŸ•·οΈπŸŒ.

4.Jinsi ya kuhack account ya pugb ya mtu yoyote.

5.App ambayo inatabiri betpawa virtual %70 βœ… πŸ™ŒπŸ€–.

6.Jinsi ya kupata fr€€ internet πŸŒπŸ’»πŸ‘ unlimited.

7.jinsi ya kurudisha account ya Whatsapp iliyopigwa ban πŸ•ΉοΈπŸ‘¨πŸ½β€πŸ”§.

8.jinsi ya kusoma massage za Whatsapp za mpenzi wako kwa kumtumia link akiifungua tu Hana bahati πŸ˜‚πŸ€­πŸ˜±

Oya vitu vipo vingi ni wewe tu kunichek na buku lako na hii ni promotion kwasababu bado hatuwa international πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
 
Sidhani kama hapa ni mahala sahihi kwa hii ad yako mkuu, Kwanza wewe si fundi friji tabora?
 
Huu uzi natabiri utakufa siku si nyingi.
Kamari ni Janga kwa vijana ambao ni nguvu kazi ya nchi.

Haya umeliwa nenda kaweke tena.😁😁😁.
Hii addiction ilinitesa sana ila sasa nimekuwa mtu huru shenzi kabisa.
Hii Uzi hauwzi kufa Mdau

Maana KAMARI ipo Tangu wakati wa Mitume.Ndio maana ikawekwa kwenye mnaandiko

Sasa hii ipo Betting ni kama kufanya Zinaa tu,waliopo kwenye ndoa wanazini na hata ambao hawajaoa na kuolewa wanazini tu

So,Kazi iendeleeee
 
hapa siyo mahala pake bro.

ukija hapa hatuuziani kitu, tunadiscuss. wazee, tudiscuss kuwa na bot ya whatsapp
 
Tafuta mtaji uwe unaweka kwenye virtual yako ya betpawa
 
Waana Thiiiimbaaaaaaaaaaaaaa

Na Bora kanji ameziweka hizo matches za FA kwenye Live betting otherwise ingekuwa Janga la Taifa

Mashujaa Hongera zenu

Ngoja niwahi kuona kibonzo chao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…