Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimemjaribu muhindi kwa mkeka wa 500 tu....kuna ka utafiti ka hizo point za MC CHERE nakafanyia majaribio before epl kesho

True,hata mimi mwenyewe natupia 500 tu ili nithibitishe research yangu ya GG,kama ukitiki,nitakuja kusema kitu hapa.
 
Daaaah yani mbet nimebet mkeka toka jana, ushindi ulikuwa laki nane lakini kadri mechi zinavoenda hela nayo inapungua nashindwa kuwaelewa
 
Na huo mkeka wa GG,ulikuwa na total odds zaidi ya 350,na dalili za mwanzo zinaonesha si mbaya but let us wait and see the end,ila ukitiki nitaujutia maana tatizo la m pesa limenifanya nichelewe kuulipia na nikakuta mkeka bet wameshazitoa mechi ambazo zimekwisha kuanza.
 
kuna jambo zinaendelea premier bet kwani kuna mkeka niliplace asubuhi Salio liiabaki 5000 saivi analog in nakuta lile nililobetia limerudishwa na sina uwezo wa kucheki my account overview illi niangalie tiketi yangu. maana Niki bonyeza my account nothing happens.

je kuna mtu ana experience the same problem?
 
mnafanyia uchunguzi kitu gani mkuu? maana pale juu nimeona tu over 1.5 and GG MNACHUNGUZA ODDS AU?
 
Aisee ni kweli mie nlibet hela ikawa nyingi but nw naona et hela inapungua kila mechi ikiisha nashindwa kuwaelewa kbxaa
 
Wadau kama kunamtu anajua process za kufata ili kuwa wakara wa bet company like premierbet & superbet na kiasi gani cha pesa required na faida zake ikiwezekana
 
PSG ya mwaka huu kuibetia tuwe makini sio timu ya kibabe labda mechi ya 10...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…