Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mie leo nahitaji odd kumi tu, nianze upya kutafuta mtaji maana nlichotendwa jana basi tu.
 
Hapo ndio ujue kuna uchawi na mpira ni dakika 90, then mkekabet kuna offer wikiendi hii ya timu tatu wametoa ziko vizuri odd 7
 
Leo kuna mechi zaidi ya 800 ... hivi huyu Kanjibah Kumar anatoka vp??? watu kweli na uzoefu wetu woooote wa kubet kila siku tunashindwa kutoka na mechi hata 5 ???????? Leo sikubali

Twende kazi ...
Aaaaaaah!uchawi wa kanji...utashangaa 2+....3+....home win...away win za kutosha...
Ngoja tuone
 
Hull City - Leicester City
Leicester City WIN
1.89

Southampton FC - Watford FC
Southampton FC WIN
1.83

Burnley FC - Swansea City
X (DRAW)
3.16

Crystal Palace - West Bromwich Albion
Crystal Palace WIN
1.97

Everton FC - Tottenham Hotspur
X (DRAW)
3.30

Middlesbrough FC - Stoke City
Stoke City WIN
3.4

Manchester City - Sunderland AFC
Manchester City WIN
1.26

Total Odds 307.08...........Kama una 10,000/ jaribu kuichukua hii mil3 hapa
 



Hahahah ... nakukubali sn Mr. Wise ... ngoja nichambue zangu hapo twende pamoja.
 
Hahahah ... nakukubali sn Mr. Wise ... ngoja nichambue zangu hapo twende pamoja.
Mkuu ebu zilete hapa.....ila zisiwe zaidi ya game tatu!!!!Trust me epl leo itaondoka na pesa za watu ulimwenguni kwa kuweka kokolo, labda mtu uweka kokolo kwa max stake ya 10,000 tu au kokolo ya magoli tu.
 
Katika maisha yangu ya kubet ligi inayoanzaga ******* ni ligi ya wingereza siyo ya kuikurupukia wadau ina mpaga muhindi mtaji Wa kutosha hii ligi unaweza ukasikia man city anapigwa Na Sunderland home kwake au lecister kadroo hili ligi Mimi nailia Mingo kwanza kila la heri Wa kuu
 
Mkuu huu mkeka naufata kama ulivyo maana umepita mulemule nilipopita mm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…