paka mbaya
Senior Member
- Jan 11, 2014
- 169
- 49
Meridian wanakula pesa zetu vipi wanashindwa kuweka servers sawa
Nimekaaa masaaaa 6 mpaka sasa na sijapata timu za kuweka.... Mechi zaidi ya 600 lakini kamoyo kanagoma..... Hatari sana sheikh (kwa sauti ya sheikh kipoozeo)
Mkuu nilimiss maneno yako..narudi leo since may hodi humu ndani..tutacheka pamoja na tutalia pamojaLeo kuna kilio kikuu au kicheko kikuuu
Leo nitakuwa busy kusoma commentLeo kuna kilio kikuu au kicheko kikuuu
Mechi zaidi ya 800 mkuu, half mtu unakosa odd 2. Jamani