Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Meridian wanataka nipishane na hela ya Leceister
timu zifunganeGG maana yake nn, msaada
Kila timu ipate goli katika mechi husikaGG maana yake nn, msaada
Ko ni sawa na BTTSKila timu ipate goli katika mechi husika
YapKo ni sawa na BTTS
OK, ngoja nikatege kokolo coz Leo kuna sato wengi
Hahahaaaa huu mchezo aisee inahitaji moyo sanaOK, ngoja nikatege kokolo coz Leo kuna sato wengi
Kitaeleweka 2, ila kokolo haligusi england, coz EPL inaanzaga vibayaHahahaaaa huu mchezo aisee inahitaji moyo sana
Mimi kwangu kila bet site inaerror meridianbet prembet Mbet poa kanjibah kwa kuninyima kibunda[emoji45] [emoji45]Nawashukuru meridian, ni zaidi ya masaa ma4 sahv nakutana na error tuu siwezi kuplace bet yangu lakn poa tuu nitawahama, kama kuna mfanyakazi wao humu apeleke ujumbe...its real boring daah
Kama vile tulikuwa wote nikichambua but mimi Nina zaidi 30 Leo alafu meridian inazingua[emoji35] [emoji35] [emoji35]UCHAMBUZI WANGU WA LEO, haya ndo majembe yangu
Bate
Genk
Copenhagen
Aston villa
St Pauli
Ajax
Newcastle utd
sporting cp
cska moscow
AIK
Sirius
Leicester city
mkuu mimi kwa hasira nimerejea supabet na premire onlineNawashukuru meridian, ni zaidi ya masaa ma4 sahv nakutana na error tuu siwezi kuplace bet yangu lakn poa tuu nitawahama, kama kuna mfanyakazi wao humu apeleke ujumbe...its real boring daah
Kwa mbali nauona ushindi wa Swansea , na Draw ya STOCK CITY.Mkuu huu mkeka naufata kama ulivyo maana umepita mulemule nilipopita mm
mkuu hii ni nini?
weka mkeka tuonehpa jelo lmenletea 2ml.. dah ndoto nyngne hzi... half/full tme... Premier
Sijui nihamie kampuni ipi? Zote zinazngua[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Mkeka je?