Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1471090617988.jpg
 
Nilisema ligi ya pl inaanzaga ******* ndio hivyo sasa muhindi kachukua hela mapema kwa lecister
 
Wakuu pole zetu wote kwa kuonja kipigo cha mapema. Hawa Leicester City msimu huu watakuwa vibonde wa kutupwa....mamaeh zao! Ndio maana kumbe mchezo huu hauhitaji HASIRA.
 
Back
Top Bottom