Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Juve
Bate
Malaga
Colocolo
HNK Rijeka
Nk dinamo Zagreb
AC Sparta praha
Talina fc flora ii
legia warszawa
Sport cp
Benfica
Wale was kokoro wekeni hizo odd 72 ukipenda unaweza mwongeza na Udinese
 
Kama nilivyosema
Leo ni kulia au kucheka najua kila mtu anajua upande wake
 
qumar dhandra nimepishana nae amenunua mafuta ya kupaka kwenye ndevu zake baada ya makusanyo ya kutosha kutoka kwa wale tulio chaniwa mikeka.
 
wakuu, hatukomi....baada ya kunyooshwa asubuhi, jioni hii nakuja hivi:

upload_2016-8-13_19-32-40.png
 
qumar dhandra nimepishana nae amenunua mafuta ya kupaka kwenye ndevu zake baada ya makusanyo ya kutosha kutoka kwa wale tulio chaniwa mikeka.
Haaaaaa, jamaa angejua tunavyomchukia lkn hatukomi
 
Dah meridian wananifanya nisibet kbsa leo.... lkn kila mda unavoenda naona ningechaniwa tu mikeka maana livescore huko kimenuka hatari
 
huyu Buddy kapatwa na jambo gani? Raimundo? kulger? mtzmweusi? Sumve?

au mnaapply kitu kinaitwa kila nafasi itajililia? mpo wapiiiii
 
Back
Top Bottom