Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

FC Montréal - Charleston Battery

Iyo game muhindi kakosea au???kampa FC montreal 10 odds.... wakati hajawahi fungwa na haka ka team
 
upload_2016-8-13_23-59-20.png

BET WON
 
Mapambano yaendelee, kanji lazima akae, makamanda mpo wapi Australia kumekucha, leteni mkakati kazi wa leo tujadili pamoja
 
huyu Buddy kapatwa na jambo gani? Raimundo? kulger? mtzmweusi? Sumve?

au mnaapply kitu kinaitwa kila nafasi itajililia? mpo wapiiiii


hiki ndicho kilichonipata jana Chief ..... grrrrrrrrrrrrrrrrrrrr. Hatareee sn

upload_2016-8-14_7-42-21.png
 
vipigo vinatembea kila kukicha lakini hatukomi. huu mchezo hauhitaji KUKATA TAMAA!
upload_2016-8-14_9-17-7.png
 
Back
Top Bottom