Mkuu mie nilikwanguliwa mtaji wangu kabisaaa toka alhamisi hapa najichanga leo nitupiehuyu Buddy kapatwa na jambo gani? Raimundo? kulger? mtzmweusi? Sumve?
au mnaapply kitu kinaitwa kila nafasi itajililia? mpo wapiiiii
Mkuu fanya kunitumia 20k hapa 0713995578 hiyo tumia tuMsaada wakuu...m bet walinitumia hela kimakosa wala nilikuwa sijacheza..nilitumiwa laki4.54 ..
Hadi leo sijapokea simu ya malalamiko kutoka kwao
Ufafanuzi hapa tafadhali.
Man u
Lyon
Liverpool
All win odd 11.08
sorry sikuwa hewani hii ni Football Tips - ODDSTAKE.COMmkuu hii ni nini?
Man u tatizo anawapenzi wengi kwa hiyo kwenye bet hatumwachagi watu wengi wanaobeti hawaachagi timu wanazozipenda ila man akifa Leo ni dunia mzima kilioKuweni makini sana na man u maana naona kila mkeka mnampa ushindi tu