Chris41
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 625
- 409
Huwezi kula mkeka wa namna hii nakuapia
mkuu nimejaribu mbinu nyingi sana lakn wapiii,, ndoman leo nmeamua kucheza mkeka kichaa nione itakuaje
ila mkuu nliona ata ww uliweka game 1 jana na ukala cha mbavu... mwisho wasiku hii ni bahati nasibu
me naekaga mkeka matimu ya baseball huko nafanya ana ana doo na nakula sometimes, matimu hata siyajui cjui ata huo mchezo unachezwa vp