Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,984
Pole aiseHuu mkosi nimeenda denmark tena mechi 4 GG tatu zimetick, moja imetoka 2-0 [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Pole aiseHuu mkosi nimeenda denmark tena mechi 4 GG tatu zimetick, moja imetoka 2-0 [emoji35] [emoji35] [emoji35]
bado malmoe ff nicheke kisukuma
Goal disallowed malmo ff kazinguaMalmo anataka kuharibu sherehe 1-1 huko 76'
Malmo anataka kuharibu sherehe 1-1 huko 76'
dah ilikua sio cku yang....kisukuma ntacheka anaother !!!!!!!Malmo anataka kuharibu sherehe 1-1 huko 76'
dah ilikua sio cku yang....kisukuma ntacheka anaother !!!!!!!
huyu malmoe mpuz sanaaaabora angefungwa tu tujue moja sio kuchomoa dk ya 87 et 1-1
Hapana aise kumbuka kuna waliocheza GG na 2+bora angefungwa tu tujue moja sio kuchomoa dk ya 87 et 1-1
Oya umebetia wapi? Coz machinjio ya mbet yana visu vikalu. Iyo inasupport mpesa?Inakera kwa kweli, mkeka wa tatu huu mechi moja tu ndo inazingua
View attachment 381564
Mkekabet hiyo, m pesa inasupportOya umebetia wapi? Coz machinjio ya mbet yana visu vikalu. Iyo inasupport mpesa?
imebdi nicheke tuHapana aise kumbuka kuna waliocheza GG na 2+
Kwa hiyo duo mbaya sana