MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Ainisha timu ndugu , je instict yako inakutuma azam kushinda ?Gg;&3+
DrwAinisha timu ndugu , je instict yako inakutuma azam kushinda ?
HT AZAM WAinisha timu ndugu , je instict yako inakutuma azam kushinda ?
Sijakuelewa uzuri mpwa embu nyumbulika kwa lugha ya kizee si unajua tena umri mpwaHT AZAM W
FT SIMBA ANARUDISHA
1/2 WALE WA HTFT ODDS 20+
ht AZAM.ATAONGOZASijakuelewa uzuri mpwa embu nyumbulika kwa lugha ya kizee si unajua tena umri mpwa
kama unaona kwako si muhimu pita kimyakimya si lazima kila jambo ujibu husikiavyo. Wanaohitaji watazifata hzo games tukutane baada ya dakika 90Ligi zinaisha wewe ndio unakuja na habari ya odds 2 asee hizo ligi sijui daraja la pili na tatu hazitabiriki
yeah! Mida flan wasafibet zilifika odds3 kamili sijajua makampuni mengne au kama zitakua zimepanda au kushuka.Hizo mechi mbili inafikaje odds 3 hapo?
Cheif embu kuwekee bas mikeka uliyo win kwa option yako nasi tujifinze kituKila mtu na bahati yake ngoja niendelee na utaratibu wangu kwa sababu mimi naona unalipa