Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sawa, wengi wana feli sababu ya uoga. Baadae nitakusogezea matokeo. Weka hizo unazo taka kuweka BVB akushangaze
Hizo weka wewe mkuu pesa sio karatasi huchezi wewe uwanjani mkuu mpaka unasema uhakika yaani 1m niwekwe kwenye mechi kama izo acha ziwin tu
 
Swali la kwanza je unamudu kupoteza hicho kiwango je hakitukuathiri kisaikolojia au kiuchumi? Kama jibu ni ndio basi weka mzigo tu usikilizie mana Sheria ya maisha unarisk ili upate . Uwoga ndo umaskini wako ww kama unamudu kupoteza hcho kiwango na hakitukuathiri kisaikolojia au kiuchumi basi mi nasema stake tu nimepitisha hilo
 
Pamoja mkuu
 
Uoga ni mbaya sana, nilikuahidi matokeo. Ndio hayo mkuu, saizi ungekuwa na 2.2M. Acha uoga kama umeamua kuingia kwenye sekta ya kamali, kwa stake za namna yako inabidi utupilie mbali kitu uoga, muhimu ni kufanya upembuzi mzuri katika michezo utakayo weka. Karibu kwa mara nyingine.

Hapa utapata Basketball, Tennis na Handball pekee, Football sifahamu ata goli linafugwa vipi!
Hizo weka wewe mkuu pesa sio karatasi huchezi wewe uwanjani mkuu mpaka unasema uhakika yaani 1m niwekwe kwenye mechi kama izo acha ziwin tu
 
Mjomba mbona unalazimisha ukila wewe inatosha
 
Hii Virtual ya BetPawa sijui leo imechanganyikiwa au la. Saa 12.30 hivi asubuhi nilianza na sh. 6,000/=, sasa hivi saa mbili na nusu nina sh. 45,000/=. Ngoja niziondoe, huwa zinapukutika πŸ˜€

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…