Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Acha nijitose kwenye Bikosports yenye interface mpya nione

 
Aisee hii League ya TFF Mechi za Kesho zikiwekwa Tustuane.

Yaani league ya za Kenya matches zinawekwa siku mpaka mbili kabla,ila hii league ya Bongo inawekwa matches siku hiyo hiyo.
Maaana kesho kutam mnoo,over 1.5 zakumwaga.

Parimatch huwa fasta wanaziweka
 
Wakati tunasubiria NBC league iwekwe na Odds zake:-

Mie napita hivi:-

1) YOUNG Africans vs TABORA United
Options:- Young Africans win
Young Africans over 1.5
Match overall 1.5

2) AZAM vs Kagera Sugar
Azam sio wa kuwaamini sana,kuna kausimba mle ndani,sasa direct Win naiogopa
Options:-Overall 1.5
Azam Win or Draw

3) SIMBA vs KMC
Options: Simba Win or Draw
Match overall 1.5

4) MASHUJAA vs MTIBWA
Options:Match overall 1.5

5) IHEFU vs DODOMA
Options:- Ihefu Win or Draw

Hapo ndio nawasubiria nione Odds zitaendaje Ili niuunge na mkeka wa leo

WanaSIMBA vs KMC,chagua Ushabiki au pesa,ila match ngum sana hii
 
Huu mtego huu🤣🤣🤣
Aisee KAMARI acha iitwe KAMARI

Newcastle alipewa odds kiduchuuu mnooo za Win then All stars akapewa mlima za Win,Tena All Stars Jana alikuwa over 0.5 goal ina 1.65

Kilichotokea kumbe Newcastle kuchezea mbayaaaa,hii ni kwa vile Newcastle juzi kacheza,so hii leo kaingiza madogo

 
Apo kwenye Azam na Kagera kimbembe,Kagera nao sio wepesi,anaweza kumla Azam mazima ,Bora kuweka over 1.5 .mdau au unasemaje apo
 
Apo kwenye Azam na Kagera kimbembe,Kagera nao sio wepesi,anaweza kumla Azam mazima ,Bora kuweka over 1.5 .mdau au unasemaje apo
Nakubaliana na wewe pia
Maana Kagera nao uwanja wa Carpet wanao,so hawana ugeni na Carpet la AZAM
Ila ngum mnoo Kagera kumla Azam mazima,maana Kagera yupo Salama na AZAM hatakama atampisha Simba kimtindo basi ata Draw,ila kupoteza Chamanzi nyumbani na kiingilio Bure aiseee ni ngum labda Mechi ya Mwisho atakuwa ugenini ma Geita Gold

But in betting anything can happen ila kuplay with less risking set up ni Bora zaidi.
Ila kumpa Kagera Win Ili kufuata odd kubwa aisee haijakaa vyema
 
PARIMATCH tayari wameanza kutupia matches za NBC kesho
Hawa watu wapo Fastaaa mnoo na much advanced kwenye NBC league

Namungo vs Prison over 1.5 ina 1.67 aiseee,Derby la Wanakusini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…