Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
βοΈUFM Radioπππ
Karibuni tusikilize UFM Michezo Saa 10 mpaka Saa 1.
Then tukitoka huko tunajazia Madini ktk Mechi za NBC kesho
Tutajua Injuries zipoje,nani yupo nani hayupo,Team Gani haijafika mkoa husika kwa Usafiri wa Ardhi,unajua kabisa fatigue itawacost,nani ana cards Tatu za Njano na mengine Mengi
Kisha tukitoka huko tunakuja kugaragazana Na Kanji fastaa
duh!Huu mtego huuπ€£π€£π€£
Aisee KAMARI acha iitwe KAMARI
Newcastle alipewa odds kiduchuuu mnooo za Win then All stars akapewa mlima za Win,Tena All Stars Jana alikuwa over 0.5 goal ina 1.65
Kilichotokea kumbe Newcastle kuchezea mbayaaaa,hii ni kwa vile Newcastle juzi kacheza,so hii leo kaingiza madogo
View attachment 2998027
Riskwakuu kuna odds 1.20 daily inatoa ambayo ni double chance ukiwa na m1 daily unalaza lak2
Risk iko kote kote. Bora hiyo yenye risk ndogo kuliko kusaka odds za 1.5+ then uongezs riskRisk
Unatumia bet gani, pet power?Niliweka mkeka nilitakiwa nile 3Mil nika cash out laki 9 na mkeka ukatoka tamaa
basi jilipue kwa psg, mamelod, QARABAG, LEVERKUSEN, MADRID hapo kuna mmoja anaset bomRisk
Hapo ukiandika hivi wasomaji wanakua washajua unazungumzia kampuni gani?Bado Mechi za Simba na YOUNG AFRICANS NBC hawajaziweka shenz hawa
Kuna mkeka nimeuset wa kuanzia Saa Saba mpaka jnne,hawa tu ndio wanauweka
Ikifika sita naupaisha
Iko wapi?wakuu kuna odds 1.20 daily inatoa ambayo ni double chance ukiwa na m1 daily unalaza lak2
Aiseee Kweli,yaani kuna kampuni hizi Sportbety,Betika,Betpawa,kidogo parimatch yaani NBC league matches huwa zinachelewa mpaka siku ya Matches ila utakuta league ya Kenya siku Tatu kabla matches zipo,sijui ni mission planned.Hapo ukiandika hivi wasomaji wanakua washajua unazungumzia kampuni gani?
Manake Sportpesa wanazo hizi gemu toka juzi, Mbet wameweka usiku.
Ukisha cash out unaanza kuombea mkeka uchanike!!Habari
Hii ni maalumu kwa watu wa betting. Watu wengi wanaojiingiza kwenye betting wameshindwa kutengeneza pesa kwasababu ya tamaa ya kuona pesa nyingi zinazowekwa na mashirika ya betting. Leo jifunze hapa namna ya ku cash out muda mfupi baada ya kuweka odds zako. Lakini pia, yaelewe mashirika yanayoruhusu ku cash out maana watu wengine wanajiunga tu wala hawajui elimu hii .
Mfano mzuri, sportpesa bet hawana option ya ku cash out, ila betpower wanayo.
Karibuni wadau mlio na uzoefu wa betting ili wapenda betting waweze kutengeneza pesa nzuri.
haswa kupitia cashing out kabla ya mechi au mkeka kuharibika, muhimu nikuacha tamaa, unaweza ukawa una cash out hata Kila ifikapo tsh 5000 tu.