ujanja wa kuwinNamna inavyochezwa au ujanja wa kuwin?
Tunaanza: Odds 8.points
( nimetulia Kadri ya upepo wangu) nimeweka 20,000 on this slip,nikiliwa tumeliwa sote na I'm ready for any kind of results
Options which opted:
-Over 1.5
- Bookings over 1.5
- Corners over 6.5
SPORTBETY:-83E0F5
Nimeikosa hii,ime expire
Wengine Wanapata GB tu hawapati helaPESA BUREEE🏃🏃🏃🏃🏃TIGO haoo
Wadau eeee wahini hukim Fastaaa
Tigo wamevunja Bank
GB 1 na Tsh:5,000 bureeeee
Mie nyumba nzima nimewadonwloadia🤣🤣🤣
View attachment 2998458
Ila wewe jamaa, kwahyo umechukua 16k kwa 600k, lakini yote kwa yote ni maamuzi hongeraaYa supuuuuu
Wewe umechukua Bei Gani mkuu kwenye hii mechi ya leoIla wewe jamaa, kwahyo umechukua 16k kwa 600k, lakini yote kwa yote ni maamuzi hongeraa
Sijachukua kitu mkuu, nasubiri mwezi wa nane huko league zikianza,maana nimeunguza sana account kipindi hiki cha nyumaWewe umechukua Bei Gani mkuu kwenye hii mechi ya leo
Poa mwamba mapambano yaendeleeSijachukua kitu mkuu, nasubiri mwezi wa nane huko league zikianza,maana nimeunguza sana account kipindi hiki cha nyuma
AC Milan Safi saana kenge wwwweeeee🤣🤣🤣🤣🤣