Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Msimu ukianza huyu kanji atanikoma, nitamrarua pakubwa sana. Msione ajabu kuona makampuni yatakapofungwa hapa tz
Mmmmhh, huwa ligi ikiisha huwa tunajiapisha kabisa msimu ujao nitahakikisha namla Kanji alafu baadae mpaka ligi zinaisha tunakuwa hoi.

Anyway, tunakusubiri tuone mkeka wako ukipostiwa na makampuni uliyoyapiga kwa kichwa cha habari "BIG WIN"
 
Toka wakupe account za promo sasa umeamua kutujazia saver,acha ushamba,hata matangazo yana ukomo.boya wewe
Mkuu karibu na wewe ujiunge mkuu. Mwenzako nampiga mhindi daily. Karibu na wewe. Nifuate tumpige mhindi. Lakini pia Kuna muda na lost ila nashinda mara nyingi kuliko loss. Nifuatilie uone
 
Al ahly win
Club brugger win
Sonderjsker double chance & O 1.5
Wil double chane & 1.5
Kazi njema....ref mwindi yake 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…