Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli umepoa.ila Kayombo Tips yupo serious na kazi...nimemwelewa. stake na odds.uzi umekosa mvuto
MWezi wa nane utachangamka tuuzi umekosa mvuto
doh...umechana vibayavibayaNilikua nampiga kanji vibaya sana yani imeharibu timu.moja😌😌😌View attachment 3053425
Unavuta bange siyo!?Nilikua nampiga kanji vibaya sana yani imeharibu timu.moja[emoji18][emoji18][emoji18]View attachment 3053425
Hapana mkuu zinachana kidogo kiasi kwamba Unapata faida kwenye betting. Pia, kwenye betting lazima uwe risk taker. Kama hupo tayari kutake risk acha betting.Dah pole mzee .. Hizi Odd ndogo huwa zinachana sana
Nawapataje hawa mkuu?1xbet wamerejesha tena kuweka na kutoa kwa simu
Ijapokuwa sidhani kama itadumu,,,, maana sellcom wanazingua sana kwenye ishu ya malipo,,,, ye ndo middle man pale1xbet wamerejesha tena kuweka na kutoa kwa simu