Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Code Hiyo Hapo. Chukua nenda ka load PARIPESA halafu utaona Mkeka ulivyoKAMA UNADHUMUNI LA KUILISHA MITAA UNGESCREEN SHOT HIZO GAMES ILI WANA WAFUATE MAANA SIYO KILA MTU ANATUMIA PARIPESA
Mkuu wewe huoni Booking Code kwenye kila mkeka ninao weka hapa?Unajipromote au unashare code!?
Naona unatuletea vurugu tu humu.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Nilikua naangalia cv za wachezaji wa Spain jinsi ilivyo shiba dhidi ya Egypt, nikajilipua mazima kuwafuata Spain odd 1.98
Mpaka sasa halftime Spain kasha kalia kimoko
Mkuu kwanini wasinifuate? By the way naisubiria milioni mbili muda mchache ujao kutoka kwenye Mkeka niliocheza PARIPESA. Bado game ya tennis pekee👇👇Msimfate kayombo tips.
Tulieni ligi zirudi msiwe na presha.
NtakulipaSoma vigezo na masharti usitupe kazi yakukusaidia kusoma maana hutulipi.
Kizungu changamotoNtakulipa
kwasasa hawapo na selcomIjapokuwa sidhani kama itadumu,,,, maana sellcom wanazingua sana kwenye ishu ya malipo,,,, ye ndo middle man pale