Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aisee leo nilitaka kuweka mzigo wa maana kwa kuipa Yanga ushindi mnono ila cha ajabu naenda sportybet ngoma hola, nikaenda betpawa ngoma hola, nikarnda betway hakuna kitu. Nikaenda sportpesa nakuta kuna tatizo la kiufundi wanashugulikia nikavuta subira. Baadae nacheki nakuta betpawa wameiweka mechi ila wameogopa kuweka masoko mengi ni kuchagua tu mshindi kwa mgeni, mwenyeji au sare. Huku kwa sportpesa nao wakaiweka mechi lakini na wao vile vile wameogopa kuweka masoko mengi kuhofia watu wengi watatembea na Yanga kwa option za odds nyingi. Kwa leo ili ule pesa nyingi kwa Yanga, unalazimishwa ucheze direct win na pia lazima uweke mzigo heavy.
 
Risk it all.Liver kashamaliza kazi
 

Attachments

  • Screenshot_2024-08-17-15-56-34-680_com.android.chrome.jpg
    281.3 KB · Views: 6
Yah supu kesho nimeshaipataaaa
 

Attachments

  • Screenshot_20240817-180633.jpg
    408.5 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…