Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Singida vip atashinda?....na mech ya simba itatoa corners kum??
 

🔥MKEKA WA SIKU PARIPESA

Booking Code: YRCZS

Jisajili PARIPESA Kwa Kutembelea Website Ya PARIPESA.

Usisahau Kuweka Promo Code👉👉 TIPS2424 ili upate bonus ya asilimia 100.

N.B Bonus utapewa mpaka uweke hela kwenye akaunti yako ya PARIPESA.
 
Ningekuwa ww maana yake ningekuwa na 1.5M.
Ila nishaanzaga na 50k 1x bet na kuipandisha hadi 800k ila nikaja butuliwa vibaya sana.
Ni fresh ukiwa unazichomoa faida.
Kuchomoa kidogo kidogo muhimu. Unaweza ukajikuta umeliwa yote tena wakati umeitafuta kwa mapresha kibao mikeka inashindia dakika ya 96 huko!
 
SCREENSHOT HIZO GEMU MKUU KWA FAIDA YA WATU AMBAO WAMEDIPOST KWENYE KAMPUNI NYINGINE KAMA HAUTOJALI
 
Ebu naombeni mwenye namba ya yule mdau alietaka kumpga mind mil21 ac Milan pekee ikamchania na tulimshauri aitoe ilpokua mil 15 akakataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…