Vuta subira tu mkuu,Mimi Jana ilichukua masaa 4 ndio ikasoma kwenye account yangu.Msaada nimeweka hela 1xbet mpaka saiz haijasoma ..nimeweka kupitia Airtel money
Kwani kichwa chake kilipata ngapi mathematics? Mwambie tu asuke makongaInter na Milan wamefanya Yao, nitamwambia nini huyu mdada niliyemwambia nitamtumia hela ya kusuka Leo saa Tano asubuhi View attachment 3073118
Anasoma ualimu mkuu,ni Hawa wa arts,wamemaliza mtihani kwahyo anataka kusuka aende kwao akiwa amependezaKwani kichwa chake kilipata ngapi mathematics? Mwambie tu asuke makonga
Yaani kanji akusukie mkeo, 😂😂😂Anasoma ualimu mkuu,ni Hawa wa arts,wamemaliza mtihani kwahyo anataka kusuka aende kwao akiwa amependeza
Ndioo mkuu,😁😁 lakini siyo mke ni best friend2Yaani kanji akusukie mkeo, 😂😂😂
Sawa mkuuNdioo mkuu,😁😁 lakini siyo mke ni best friend2
Mkuu tafuta contact zao uwasilianeWakuu hivi inakuwaje akaunti tangu tarehe 5mwezi wa 5 mpaka leo siwezi tumia wakisema ipo kwenye uhakiki.
Nilitengeneza akaunti Play master (PM bet) na kudeposit 10000 lakini mpaka leo kila nikitaka kubeti wanasema siwezi kutumia akaunti mpaka niwasiliane nao. Huduma kwa wateja kila siku wanasema akaunti ipo kwenye uhakiki kwahiyo niendelee kusubiri.
Kuna yeyote amewahi kutana na hii hali wakuu?
Hapana kwakweli hawa ndio wanasifiwa kuwa kampuni ya viwango...alafu wanamakato makubwa kuweka hela kupitia Airtel money...nabaki tu spoortybetVuta subira tu mkuu,Mimi Jana ilichukua masaa 4 ndio ikasoma kwenye account yangu.
Ndio bet zangu hizo mwaka mzm mimi hela za vocha muhind ananipa nilijitafkr san kubet jero ni ujinga jana nimekula elf82700 kwa buku5 timu 3 na mmoja wa buku10 nikalost kwa liver hakuwin first halfWakuu msimu ndio umeanza rasmi Tuendelee kukumbushana kwamba mchawi namba moja wa betting ni mikeka ya games nyingi na odd mlima ili tupige parefu.
Just imagine kuotea game mmoja tu ni shughuli pevu halafu mtu unaweka game 10 hadi 20(si maanishi kuwin odd kubwa HAIWEZEKANI, namaanisha nafasi ni ndogo mmno)
Kudeposit 10,000 halafu ukaanza kubet mikeka ya odd 100+ kwa stake ya jero jero ni hatari sana kwa afya yako ya kiakili(kisaikolojia)
Kwanza itakujengea addiction kwasababu utakua una uwezo wa kubet kila siku kwa stake ndogo ndogo ukitarajia ipo siku utabutua
Pia usidanganyike na screenshot za wazee wa tips huko Fb Insta X Tegrm
Nyingi ni fake
Lakini pia kumbuka bahati HAIUZWI
Tujifunze kubet single au game chache na stake iwe angalau imeshiba kidogo
Kupoteza hela kubwa kwa mkupuo kunaweza kukufanya ufikirie kama kweli bet inakulipa au inakuumiza ukachukua maamuzi kuliko kupoteza hela ndogo ndogo kwa muda mrefu huwezi ku feel maumivu
So kama vipi tembea na stake za 10k na uwe unatafuta faida kuanzia buku 5k hadi 10k, hapo ni odd chini ya 2
Ikiwa kila ukidepost 10k unalost ukienda hivyo mara 10 lazima utatia adabu na utaona hapa napoteza hela zangu tu
Utakua na discipline yakubet na hauta bet hovyo hadi pale utakao ona hapa kuna chance kubwa ya kuwin
Lakini ukideposit 10k jumatatu unabet jero jero kila siku hadi wiki ijayo huwezi kuona kama unapoteza hela na utatengeneza uraibu mbaya wa kubet kila siku hata 100 tu
Na hauta jali utaona si mia tano, lakini kumbe unabet kila siku mikeka kibao
ANGALIZO
Hii sio fomula ya kumpiga kanji.... HAPANA
Hii ni njia nzuri ya kubet ambayo itakufanya ujue kama unastahili kuendelea kubet au unapoteza pesa zako bure
BTW
Jana Al Ahaly kachukua faida yangu yoye niliyopata kwenye game ya Man U
All the best wakamalia[emoji120]
AL AHLY KAISHA KUWA BINGWA SAHIVI ANACHEZESHA WATOTO TU MSIPENDE KUMFUATA KWENYE MIKEKA YENUWakuu msimu ndio umeanza rasmi Tuendelee kukumbushana kwamba mchawi namba moja wa betting ni mikeka ya games nyingi na odd mlima ili tupige parefu.
Just imagine kuotea game mmoja tu ni shughuli pevu halafu mtu unaweka game 10 hadi 20(si maanishi kuwin odd kubwa HAIWEZEKANI, namaanisha nafasi ni ndogo mmno)
Kudeposit 10,000 halafu ukaanza kubet mikeka ya odd 100+ kwa stake ya jero jero ni hatari sana kwa afya yako ya kiakili(kisaikolojia)
Kwanza itakujengea addiction kwasababu utakua una uwezo wa kubet kila siku kwa stake ndogo ndogo ukitarajia ipo siku utabutua
Pia usidanganyike na screenshot za wazee wa tips huko Fb Insta X Tegrm
Nyingi ni fake
Lakini pia kumbuka bahati HAIUZWI
Tujifunze kubet single au game chache na stake iwe angalau imeshiba kidogo
Kupoteza hela kubwa kwa mkupuo kunaweza kukufanya ufikirie kama kweli bet inakulipa au inakuumiza ukachukua maamuzi kuliko kupoteza hela ndogo ndogo kwa muda mrefu huwezi ku feel maumivu
So kama vipi tembea na stake za 10k na uwe unatafuta faida kuanzia buku 5k hadi 10k, hapo ni odd chini ya 2
Ikiwa kila ukidepost 10k unalost ukienda hivyo mara 10 lazima utatia adabu na utaona hapa napoteza hela zangu tu
Utakua na discipline yakubet na hauta bet hovyo hadi pale utakao ona hapa kuna chance kubwa ya kuwin
Lakini ukideposit 10k jumatatu unabet jero jero kila siku hadi wiki ijayo huwezi kuona kama unapoteza hela na utatengeneza uraibu mbaya wa kubet kila siku hata 100 tu
Na hauta jali utaona si mia tano, lakini kumbe unabet kila siku mikeka kibao
ANGALIZO
Hii sio fomula ya kumpiga kanji.... HAPANA
Hii ni njia nzuri ya kubet ambayo itakufanya ujue kama unastahili kuendelea kubet au unapoteza pesa zako bure
BTW
Jana Al Ahaly kachukua faida yangu yoye niliyopata kwenye game ya Man U
All the best wakamalia🙏
hiyo hela si utoe mkuu?Jamaa wananibania cash out
View attachment 3073169