NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Oya mwanangu mpaka kanji akuuue ๐ERM0EEO
Bet pawa timu zile zile, nimebadili Kutoka under 4 kuwa over 1 zote
Hahahaha mkuu nimeanza jumamosi mpaka sasa sijaonja Mia ya muhindi , ila siachi ng'oo, kazi ndiyo kwanza imeanza.Oya mwanangu mpaka kanji akuuue ๐
Hii naweka kama ilivyo! Thanks1X5PBJ9
Bet pawa under 4 &5 timu 50
One day yes
Noma sanaAshukuriwe aliyeleta cashout. Mkeka nimeusubiri siku3 madrid kauchana
Na ndo ilikuwa game ya mwisho. Kama Mungu tuu yani. Halftime nimecashout kibunda mujarabu tuu๐
Nakutafuta PM inagomaMbona unatuogopesha mkuu au na wao wameshaanza kuwa miyayusho,mm cash out ilikuwa inazingua ikabdi nisubiri mpka mechi ya mwisho wameniwekea 1.8 mil yangu
Wapo vizuri Sportbety pamoja na wakina Sportpesa na betpawa,Mbona unatuogopesha mkuu au na wao wameshaanza kuwa miyayusho,mm cash out ilikuwa inazingua ikabdi nisubiri mpka mechi ya mwisho wameniwekea 1.8 mil yangu
Hivi mbappe hakuwepoWatoto Wa Madrid Mabishooo sana
alikuwepo wenyewe wamezingua sana jana Cc ephen_Hivi mbappe hakuwepo
Nomaalikuwepo wenyewe wamezingua sana jana Cc ephen_
Tottenham unaweza kuwapa over 1.5 mechi nzima, Juventus ukimpa direct win nayo sio mbayawataalam hizi mechi
Leicester vs Tottenham
Juventus vs Como
Valladolid vs Espanyol
zimekaaje hizi naweza kuweka ushindi home?