Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Real Madrid na Yanga watanitajirisha sana msimu huu. Simba bado haina muunganiko πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
 
Hii ya kuplace milioni 50 kwa bongo hii hiyo ni gahawa.Sportybet iko poa tu
Naamini wapo, mwaka 2021 nilimwona mtu anabeti milioni 8 kwenye duka la meridianbet. Yeye alifika tu dirishani akampa code na pesa, wakamfyatulia mkeka akaondoka.
Hapa hapa JF kuna mwamba alikuwa anastake hadi 3 milion, kuna siku watu baadhi wakamcheka alivyoliwa, hakuonekana tena.
 
Halafu watu wanaocheka wenzao wanapo poteza ni wajinga. Kwanini umcheke mtu ambaye ametumia hela yake kubeti na amelose? Badala ya kumfariji watu wanamcheka?
Watanzania inabidi tubadilike, tusipobadilika Nigerians wataendelea kuongoza kwenye betting.

Mtanzania ukimwambia ajisajili kwa kutumia link ya Mtanzania mwenzake anadharau na kutoa kejeli, lakini yupo tayari kujisajili kwa kutumia link Ya Nigerians.
Inabidi tufike level tuwe na punters kama wa Nigeria. Support vya kwenu, jivunee vya kwenu.

Mtanzania amepost Mkeka jitahidi, invite watu wajiunge kwenye group zake, ku share links zake, repost na Retweet.

Inabidi tuzalishe punters ambao watashindana na wa Nigeria. Njia pekee ni kusupport.
 
Uko sawa
 


Barkiwa sana Kiongozi βœ…βœ…βœ…πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
 
Nilifata huu mkeka wa Tennis ulipost humu, asante umewin.
 
View attachment 3079453
US Open ATP Today's Picks On PARIPESA.

Jisajili PARIPESA Na Bet Hapa πŸ‘‡πŸ‘‡.

PariPesa

PariPesa

PROMO CODE WEKA πŸ‘‰πŸ‘‰ TIPS2424 upate bonus ya mpaka TZS 250000

Booking Code: 1X7NY

10+ ODDS ON PARIPESA BOOOM IN A ROW βœ…πŸ”₯βœ…πŸ’°πŸ€‘

3.4 MILLION BOOM ON PARIPESA BACK TO BACK. πŸ’°βœ…πŸ”₯πŸ€‘πŸ”₯πŸ’°

350000 TO 3440000 Bagged πŸ’°πŸ’°πŸ€‘.

Napost Code Hizi PARIPESA . Kama huna akaunti ya PARIPESA jisajili kwenye link hizo hapo chiniπŸ‘‡πŸ‘‡.

PariPesa

PariPesa

PROMO CODE WEKAπŸ‘‰ TIPS2424
 
Unyama mwingi
 
Safi sana,hivi mkuu paripesa kama umemselect player one awin kwenye tennis ikitokea karetire inakuwaje?mana player niliyemchagua kuwin karetire,kwa sportybet inskuwa void but huku paripesa nmekuta loss
 

Hongera sana Kiongozi .........hata leo nayo ni siku😍
Tuko nyuma yako lete codeπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…