Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi SportPesa wana app? Nimejaribu kuitafuta mara kwa mara bila mafanikio.

Mimi nadhani platform salama zaidi ni hizi zilizowekeza hasa kibongo hadi kwa timu kubwa mfano SportPesa na M-Bet maana ikitokea wakafanya udhulumati wana vingi vya kupoteza tofauti na hizo zingine za vichochoroni, kesho anaweza kufunga akakimbia.

Sijajua sheria zinawalinda kiasi gani haya makampuni kwa upande wa kulipa pesa za wateja.
 
Mtu na akili zako unaweza kubetia sport pesa na m bet Kwa Sasa hivi kweli
 
Mtu na akili zako unaweza kubetia sport pesa na m bet Kwa Sasa hivi kweli
Kama hauna mipango ya kubeti kwenye mieleka na table tennis mbona fresh tu. Maana odds ni zile zile, labda games zinaongezeka hapa na pale ila tukiwa wa kweli tofauti hasa ni nini?

Maana nasoma malalamiko na wasiwasi wa watu kuhusu kutoa pesa kwenye baadhi ya platforms, sasa tayari unachukua risk kucheza kamari yenyewe, halafu unajiongezea risk ya kupata pesa yako ukishinda kwa kubetia makampuni yasiyo na uhakika. Point yangu ni hiyo.
 
Hamna nimeuliza tu maana m bet ndio kampuni la kishamba ikifuatiwa na hiyo sport pesa
Nielimishe mkuu nipe darasa. Kampuni iliyokuwa tayari kuwekeza mabilioni kujitangaza sidhani kama unaweza kuiita ya kishamba. Hizo kampuni zina shida gani hasa ukiacha labda kutokuwa na options nyingi za michezo?
 
QUOTE="Mr Money5, post: 51237163, member: 667994"]
Hamna nimeuliza tu maana m bet ndio kampuni la kishamba ikifuatiwa na hiyo sport pesa
Nielimishe mkuu nipe darasa. Kampuni iliyokuwa tayari kuwekeza mabilioni kujitangaza sidhani kama unaweza kuiita ya kishamba. Hizo kampuni zina shida gani hasa ukiacha labda kutokuwa na options nyingi za michezo?
[/QUOTE]
Mzee umeanza kubeti juzi nini sikia. Download sporty bet halafu fananisha na hiyo m bet ndio utajua utofauti wake mpaka tukaziuta za kishamba
 
Unayoeleza ni huenda ni kweli
Lakini hii experience wapo pia wamepata kwenye hizo zingine mfano sportybet walowahi kuzingua Nigeria mwaka Jana.

Anyway, nilichowapendea Hawa wa kirusi ni wingi wa markets na kutokua na limit ya pesa-kuna bet unaweza weka hata mil 500. Ni we tu

Hawa wengine shida kubwa ni uchache wa markets na limit ya pesa.

Shida kubwa ya hizi za kirusi ni systems zao kutokua vizuri na hizi mobile payments zetu, though bado zinafanya kazi Ila ndio hivyo sometimes it can even a week kukaa sawa
 
Kuna betting company gani zinazooperate hapa bongo zinaruhusu kiwango hiko cha stake? Nyingi zinaruhusu mwisho milioni 3.
Kibongo bongo unapokuwa na cash money ya kuanzia 50 mlns na unaendelea kubet basi utakuwa na shida.
Zipo nyingi tu za kirusi unaweka pesa unayotaka hata mil 100, 200, 300 na kuendelea

Mkuu unazungumzia kuweka mil 50?? Inawezekana mazingira uliyopo hukutani na wanaofanya hivi. But wapo wanaoweka hizo stakena sio mil 50 tu hadi zaidi ya hiyo. Lakini unapaswa ufahamu spo wote wanaweka kupitia mpesa or tigopesa

Toka kwenye hiyo cycle ingia cycle nyingine za watu wa kujilipua. Alafu sasa Hawa watu ni ambao huwezi kuamini kabisa kama huwa wanabet. Tuishie hapa
 
Mzee umeanza kubeti juzi nini sikia. Download sporty bet halafu fananisha na hiyo m bet ndio utajua utofauti wake mpaka tukaziuta za kishamba
Mkuu labda tunatofautiana mitazamo ndiyo maana nimekuuliza uwe specific ni kitu gani kilicho bora kwenye sporty bet ambacho hao wengine hawana ukiacha wingi wa mechi na aina za michezo.

Kwenye simu yangu ninazo M-Met, Sporty Bet na Betika na ukiniuliza mimi nimeipenda zaidi app ya M-Bet kwa sababu ni clean, haina mambo mengi na iko organized vizuri. Wengine tunaanza kuvutiwa na design ya kitu. Niuzie wazo la kupenda hizo zingine kwa kuniambia sifa zao.
 
Real Madrid na Yanga watanitajirisha sana msimu huu. Simba bado haina muunganiko 🤣😂🤣
Kama unaweka stake kubwa basi epuka Madrid akiwa "away" kwenye la liga

Watu wanashindwa kujua kwa nn kuna watu sasa hivi Wana fujo sana mtaani ikiwa shughuli zao hazijulikani. Yule chief anajiita tajiri huko insta ndio michezo yake, anaweka stake kubwa kubwa Sana alafu anajifanya anapata pesa kupitia freemason kumbe ni mkamaria a.k.a afisa ubashiri
 
Ni nani huyo?
 
Leo Tutakuwa Na Mkeka Wa Usiku Wa Baseball⚾⚾ Kwenye PARIPESA Mapema Kabla Ya Saa 2 Usiku Ili Kila Mtu Aweze Kujiandaa Kustake.

Kama utapenda kucheza basi Jisajili PARIPESA Kwa Kufuata Link Hizo Hapo Chini Na Promo Code TIPS2424 👇👇.

PariPesa

PariPesa

PROMO CODE👉👉 TIPS2424

Ukishajisajili Deposit Kisha Subiri Code.

Odds: 5
 
Ata akiwa home muangalie sana anacheza na nani,home pia anazinguaga akikutana ka kina girona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…