Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mm naomba kujua Kwa mfano mtu ameshinda milioni 100+ au 200 na zaid
Anawezaje kutoa hiyo pesa?
Njia gani zinatumika kutoa maana najua line ya simu haipokei zaidi ya m10.
Inaelekea train lako limebakiza timu chache li-tick, unajiandaa namna ya kuvuta mzigo

KIMSINGI, kampuni zingine ela ikishazidi million 5 wanaendelea wakuwekee bank kwa usalama wako and of course kukuepusha na maswali ya utakatishaji fedha though mnaweza kuongea nao na ukatoa kidogo KIDOGO ila hiyo 100m haina mjadala ni bank tu hakuna namna labda kwa baadhi ya kampuni nadhani wanaofahamu watatuambia maana nami napenda kujua pia
 
Unapata ofisin mkuu hakuna kampun inaweka hio hela hakikisha unaenda na baibo ama quran usikutane na makurujuan njian...na infact wanakuwekea kwa bank acc
Makurujuan watamfanya nini jamani tena na mie nijiandae kisaikolojia
 

MKEKA WA SIKU KWENYE PARIPESA

Booking Code: 6NEAC

Bet Katika PARIPESA. Kama Huna Akaunti Ya PARIPESA Jisajili Hapa πŸ‘‡πŸ‘‡.

PariPesa

PariPesa

PROMO CODE WEKAπŸ‘‰πŸ‘‰ TIPS2424

Pata Bonus Ya Mpaka TZS 250000 ukijisajili Na Kuweka Promo Code TIPS2424 Leo. Lazima U Deposit Ili Upate Bonus.
 
chagua imani yako Weka mzigo z leohizooo
 

Attachments

  • 1725175036894.jpg
    332 KB · Views: 2
  • 1725174345302.jpg
    192.2 KB · Views: 3
Nayosiku
 

Attachments

  • 1725174297878.jpg
    257.7 KB · Views: 3
  • 1725174125172.jpg
    150.7 KB · Views: 3
3+
Monaco ov 2.5
Twente 3+ kaboooom done
PSg 2+
Chelsea 2+
 
Odds 3+
Hioooo.betpawa
 

Attachments

  • Screenshot_20240901-111653_Chrome.jpg
    210.7 KB · Views: 3

MKEKA WA MAPEMA KWENYE PARIPESA

Code Ya Mkeka: 7EZCC

Bet Katika PARIPESA. Kama bado hujajisajili PARIPESA, Jisajili Hapa πŸ‘‡πŸ‘‡.

PariPesa

PariPesa

PROMO CODE WEKAπŸ‘‰ TIPS2424

STAKE FAST
 
Wakuu, hii bonus ya Parimatch naitumiaje. Naona siwezi kuweka mkeka kwa pesa kawaida wala kwa bonus. Pesa yote inasomeka kwenye bonus.
 
Habari maafisa ubashiri, nimefungua account sportybet nikapata free bets gift nashindwa kuitumia anayejua msaada tafadhali nikjaribu kustake inaandika Min stake required not Met .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…