Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Odds kama buku hivi, hizi ndio zangu na huwa naita mkeka wa sadaka kwa Kanji yaani kila weekend lazima nicheze mkeke wa odds 2 plus na mara nyingi nachanganya na corner hasa option corner ranges 0 - 8 au 9 - 11 yaani timu 7 tu odds buku (siku nyingine huwa kosa kosa ila siku nyingine ni balaa kupigwa)
 
Kunawakati huwa anakaaa. Sema tren au ngumu kumeza huwezi weka nyumba
 
Kwa wazoefu wa sportpesa hivi hapa inakwaje, niliweka mkeka wa multibet sportpesa,timu zote zimepita, mechi ya shakter Donetsk ilikuwa interrupted dk ya 60 hivi shakhter akiwa anaongoza kwa goli moja na nimeweka mechi nzima over 1.5, kwenye mkeka timu ya mwisho ndo hii Real Madrid imeshinda, hapa watafanyaje?
 
huyo nae n mswahili kama ameshindwa ku stake kibunda alale mbele
Mkuu kuna watu wengi humu wanadhani wabongo hatuna uwezo wa kubeti na kuweka stake kubwa. Wana amini watu wanao stahili kustake hela nyingi ni Wanigeria pekee na siyo Watanzania. Hii siyo kweli.
 
mchawi ni mtaji,
mtaji wa 10 kwa mikeka 10 roughly hapo alikua anacheza na odds around 2, kitu ambacho kinawezekana sana mkuu,
 
βœ…πŸ’°πŸ€‘βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…
 
βœ…πŸ’°πŸ€‘βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

MILLION 4.4 NYINGINE JANA

4.4πŸ€‘πŸ”₯βœ…βœ…MILLION BOOM ON PARIPESA.
πŸ’°βœ…βœ…πŸ”₯πŸ€‘πŸ€‘πŸ”₯πŸ’°πŸ’°

πŸ”₯πŸ”₯βœ…βœ…πŸ†πŸ€‘πŸ’°πŸ’°βœ…βœ…πŸ”₯πŸ’°

1000000 TO 4400000 Bagged πŸ’°πŸ’°πŸ€‘πŸ€‘.

You Get This Only If You Are On PARIPESA . Register on PARIPESA via links below. πŸ‘‡πŸ‘‡.

PariPesa

PariPesa

PROMO CODEπŸ‘‰πŸ‘‰ TIPS2424
 
mchawi ni mtaji,
mtaji wa 10 kwa mikeka 10 roughly hapo alikua anacheza na odds around 2, kitu ambacho kinawezekana sana mkuu,
Kweli odds zake ni izo ila Cha ajabu ana place mkeka MMOJA zaidi ya mara 5 kwa steka ya ml 1
 

Weekend Iliyopita Tulimkanda Kanji Faida Ya Milioni 7,000,000+ Kwenye PARIPESA, Kwa Mtaji Wa 1,000,000 tu. Tumempiga Odds 4 Siku Mbili Mfululizo. Najua Katika Betting Ni Ngumu Kushinda Kila Siku Lakini Angalau Ndani Ya Wiki Mkande Parefu Kanji Kufidia Loss Za Wiki Nzima. Na Ndiyo Lengo Langu.

Kama Upo Tayari Kuungana Na Mimi Kwenye Safari Hii, Basi Jisajili PARIPESA Kwa Kubonyeza Link Hii Hapa Chini

PariPesa

PariPesa

Promo Code Weka: TIPS2424

Deposit Kuanzia 20000 mpaka 100000 kisha subiri Code Ya Mkeka

UZURI NI KWAMBA KUNA WATU WENGI HUMU WANACHEZA CODE NILIZO POST, KWA HIYO HAPA HAKUNA EDITING. NI UHALISIA
 
Ww jamaa nakutafta. Umenifanya nifungue account kwenye iyo paripesa nimeweka Hela . kutoka mpesa lakn mpaka leo haijawai ingia kwenye account na mpesa wanasema imeenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…