Ulitoa ule wa Tz na Ethiopia under 3Ulibet Mkeka Wa Siku mkuu? Naona unaboom muda si mrefu
Ndiyo ule ulitoaUlitoa ule wa Tz na Ethiopia under 3
Niliufuata 🙏Ndiyo ule ulitoa
Umetumia mtandao gani kufungua akaunti yako? Tumia mtandao wa Airtel au Voda. Tigo nadhani inasumbuaParipesa unapataje activation code ya account kwangu nimerequest haiji
Ni tigo afu Nisha deposit sijui hapa inakuaje?Umetumia mtandao gani kufungua akaunti yako? Tumia mtandao wa Airtel au Voda. Tigo nadhani inasumbua
Umedeposit kwenye PariPesa au hela ipo kwenye Tigo pesa?Ni tigo afu Nisha deposit sijui hapa inakuaje?