Wenyewe wanasingizia voda. Wanasema mbetiti akitaka kutoa hela na voda wanataka kidogo.Duh kumbe nao wanazingua, nilishaanza kujaribu platform yao. Wanatoa sababu gani za kukata?
Helahiiii nafa nayoojuzi na jana zilitoa
tujaribu tena leoView attachment 3088663
Mkuu, kuna mikeka nimetuma ya Odds 4 PARIPESA, lakini pia siyo vibaya kuweka Mkeka wenye odds nyingi mara moja moja.Ser naona siku mbili hizi gimbo zimekukoa. Kila mkeka ulioleta hapa jukwaani mwindi kauchoma. Na naona ushaanza kupoteza nidgamu uliyokuwa nayo. Nimeona hapo juu umeweka mkeka wenye odds 380+ huku ni kukosa nidhamu.
Rudi njia kuu.
Hivi mkuu mfano ngoma inaenda mpaka cash out inasoma million 10 unapata wapi moyo wa kuendelea kumvumilia aisee nasaka kampuni ambalo halina cash out nitengeneze keka lefu kama hivyo halafu nitie mzigo wa maana siku Moja Moja unamjaribu Kwa odds nyingi kama hivyoMkuu, kuna mikeka nimetuma ya Odds 4 PARIPESA, lakini pia siyo vibaya kuweka Mkeka wenye odds nyingi mara moja moja.
Mkuu Cashout ni nzuri. Kwa mfano Kama mimi nikiona Cashout inasoma milion 10 kwenye Mkeka Huo Hapo Juu nitatoa. Nakuwa nimetengeneza faida nzuri.Hivi mkuu mfano ngoma inaenda mpaka cash out inasoma million 10 unapata wapi moyo wa kuendelea kumvumilia aisee nasaka kampuni ambalo halina cash out nitengeneze keka lefu kama hivyo halafu nitie mzigo wa maana
Sasa ikatokea mkeka umewini halafu inakuaga inabakia timu 2 si roho inauma kukosa million 5Mkuu Cashout ni nzuri. Kwa mfano Kama mimi nikiona Cashout inasoma milion 10 kwenye Mkeka Huo Hapo Juu nitatoa. Nakuwa nimetengeneza faida nzuri.
Kuumia lazima utaumia tu. Ila maumivu hayawezi kuwa Sawa na kuchaniwa timu moja ambayo ulikuwa na uwezo wa ku Cashout.Sasa ikatokea mkeka umewini halafu inakuaga inabakia timu 2 si roho inauma kukosa million 5
Aisee Mimi natafuta kampuni ambayo Haina casho out ingenijengea nyumba ya maana ningekua naweka mizigo ya maana halafu odds nyingi maana hizi za cashout unaingia tamaa sanaKuumia lazima utaumia tu. Ila maumivu hayawezi kuwa Sawa na kuchaniwa timu moja ambayo ulikuwa na uwezo wa ku Cashout.
Nenda betika hawana button ya cashout.Aisee Mimi natafuta kampuni ambayo Haina casho out ingenijengea nyumba ya maana ningekua naweka mizigo ya maana halafu odds nyingi maana hizi za cashout unaingia tamaa sana
Hamna tofauti na hiyo mkuuNenda betika hawana button ya cashout.
Nenda BETIKAAisee Mimi natafuta kampuni ambayo Haina casho out ingenijengea nyumba ya maana ningekua naweka mizigo ya maana halafu odds nyingi maana hizi za cashout unaingia tamaa sana
Mkuu Cash Out sio nyepesi kama unavyodhaniaAisee Mimi natafuta kampuni ambayo Haina casho out ingenijengea nyumba ya maana ningekua naweka mizigo ya maana halafu odds nyingi maana hizi za cashout unaingia tamaa sana
Mkeka waMkeka wangu nahitaji usomeke hivi kwa elfu 30
1. Belgium-win
2. Congo DR-WIN&OVER 1.5
3. SOUTH AFRIACA-WIN & OVER 1.5
4. ROMANIA U21-OVER 1.5
5. SWITZERLAND U21-OVER1.5
6. REAL MADRID W-OVER 1.5
7. MOROCCO-WIN
8. MALI-OVER 0.5
9. NORWAY-OVER 1.5
10. PARNDORF-OVER 0.5 1HF & 0.5 2HF
TOTAL ODDS: 36.7
Naombeni mawazo yenu kabla ya kubandika.
Upo vizuri
Cheza unachoamini wewe kwanza
Maana mtu atakosoa huku yeye mwenyewe mikeka yake inachanika😂😂😂
Shortly cheza kama ulivyo,hii ni Bahati nasibu