Dah kama na mm nna wasiwasi hv na hii game aseeHiyo game inatoa sare
Natamani nimpe dortmund mazima ila dah. Nafsi pia inasitaHiyo game inatoa sare
_ggWakuu naombeni ushauri kuhusu hii mechi ya Borussia Dortmund - 1. FC Heidenheim maana rekodi zao zinaonesha dortmnd kashawahi kuifunga mara moja tu zingne sare
Ngoja waje mshangazi, wakuu ehh mukuje huku😁Na mi naomba kubetiwa ...
5 odds 😎😎😎Na mi naomba kubetiwa ...
Una account yoyote ya betting mshangazi???
Sijaelewa kitu