Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mwanzoni namimi nilikula sana za uso ila mda ulipokuwa unaenda nikapata uzoefu zaidi, niamini mimi kama unanidhamu(hauna pupa,tamaa, umakini wako ni mkubwa)kule kuna ela, ila mwisho wa yote fanya kile unachokiona unakimudu zaidi...mimi ninazaidi ya miez 6 sijatengeneza mkeka kama namda ninacheza avitor tu sasahivi
umetumwa na makampuni kupiga promo aviator yaani niweke hela sehemu inayoendeshwa na kompyuta si nitakua chizi
 
SPORTBETY SPORTBETY SPORTBETY

ODDS: 10 Corners tuuuu

CODE:- 6A2BE89

Nickname:- CORNERS

Screenshot_20240915-103122.png
 
Augsburg ov 1.5
Inter w
Almerecity ov1.5
Leuven ov 1.5
Lyon gg
Fenebache w
Galatasaray ov 2 .5[Victor to score]
Atlanta gg
Wekamzigo
 
2+
Banker
Mcb
Happysunday
 
Attachments

  • IMG_20240915_104216_491.jpg
    IMG_20240915_104216_491.jpg
    70.6 KB · Views: 18
Guys wenye aviator kuna ela sana kule, ninakama miezi 6 toka nimeanza kucheza aviator na ninaamini chances za kupata pesa kule Ni kubwa pia, mKiona mambo hayaeleweki huku kwenye mikeka muwe mnajaribu nakule pia,
😅😅😅🤣muhindi akiona comment kama hizi anacheka tuh
 
Attachments

  • 20240913_224236.jpg
    20240913_224236.jpg
    60.2 KB · Views: 18
pk ur test
 
Attachments

  • IMG_20240915_105127_962.jpg
    IMG_20240915_105127_962.jpg
    123.9 KB · Views: 17
  • IMG_20240915_105124_642.jpg
    IMG_20240915_105124_642.jpg
    195.2 KB · Views: 18
umetumwa na makampuni kupiga promo aviator yaani niweke hela sehemu inayoendeshwa na kompyuta si nitakua chizi
Hicho ulichokisema hakina utofauti sana na fixed matches katika football betting, namaanisha mawazo yako katika namna aviator inavyorun hayatofautiani na mawazo ya wale wanaosema siwezi kubet na sportpesa au m-mbet kwakuwa wanadhamini timu za simba na yanga hivyo watamanipulate matokeo ya hizo timu kama utazibetia, pia naona kama unaniattack kwakitu usichokijua, namaanisha kwanza haujui namna hata namna "promotion“ inavyofanywa, we umeniattack nimetumwa kufanya promo kwenye post yangu ya awali wakati sijataja brand name yakampuni Yoyote kwenye ile post, pili rudi shule ukasome IT ujue hata maana ya “aligorithim“ itakusaidia kujua games kama aviator zinavyorun,,,,
 
Mzee embu badilisha mada endelea kucheza hiyo aviator maana tunapitezeana mda kubishana vitu vya kitoto
 
Back
Top Bottom