Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
umetumwa na makampuni kupiga promo aviator yaani niweke hela sehemu inayoendeshwa na kompyuta si nitakua chiziMwanzoni namimi nilikula sana za uso ila mda ulipokuwa unaenda nikapata uzoefu zaidi, niamini mimi kama unanidhamu(hauna pupa,tamaa, umakini wako ni mkubwa)kule kuna ela, ila mwisho wa yote fanya kile unachokiona unakimudu zaidi...mimi ninazaidi ya miez 6 sijatengeneza mkeka kama namda ninacheza avitor tu sasahivi
😅😅😅🤣muhindi akiona comment kama hizi anacheka tuhGuys wenye aviator kuna ela sana kule, ninakama miezi 6 toka nimeanza kucheza aviator na ninaamini chances za kupata pesa kule Ni kubwa pia, mKiona mambo hayaeleweki huku kwenye mikeka muwe mnajaribu nakule pia,
CAA2602 edited0F23D4 diet 😁 Sportybet
Hicho ulichokisema hakina utofauti sana na fixed matches katika football betting, namaanisha mawazo yako katika namna aviator inavyorun hayatofautiani na mawazo ya wale wanaosema siwezi kubet na sportpesa au m-mbet kwakuwa wanadhamini timu za simba na yanga hivyo watamanipulate matokeo ya hizo timu kama utazibetia, pia naona kama unaniattack kwakitu usichokijua, namaanisha kwanza haujui namna hata namna "promotion“ inavyofanywa, we umeniattack nimetumwa kufanya promo kwenye post yangu ya awali wakati sijataja brand name yakampuni Yoyote kwenye ile post, pili rudi shule ukasome IT ujue hata maana ya “aligorithim“ itakusaidia kujua games kama aviator zinavyorun,,,,umetumwa na makampuni kupiga promo aviator yaani niweke hela sehemu inayoendeshwa na kompyuta si nitakua chizi
Mzee embu badilisha mada endelea kucheza hiyo aviator maana tunapitezeana mda kubishana vitu vya kitotoHicho ulichokisema hakina utofauti sana na fixed matches katika football betting, namaanisha mawazo yako katika namna aviator inavyorun hayatofautiani na mawazo ya wale wanaosema siwezi kubet na sportpesa au m-mbet kwakuwa wanadhamini timu za simba na yanga hivyo watamanipulate matokeo ya hizo timu kama utazibetia, pia naona kama unaniattack kwakitu usichokijua, namaanisha kwanza haujui namna hata namna "promotion“ inavyofanywa, we umeniattack nimetumwa kufanya promo kwenye post yangu ya awali wakati sijataja brand name yakampuni Yoyote kwenye ile post, pili rudi shule ukasome IT ujue hata maana ya “aligorithim“ itakusaidia kujua games kama aviator zinavyorun,,,,
ODDS ngapiMbona mnaleta odds chache? Leteni package maana tunahitaji ukwasi wa kutosha