Noma sana
baada ya kulia kwa muda mrefu kila siku lost, hatimaye leo Mhindi kajaa.
atanguliwa 2-1Game ya raja matokeo yapoje??
Mkuu hongera. Na unahitaji utulivu...tulia.
Girona akipata goli nasambaza mitaji kwa wadau mje pm
Alistake ngapiMkuu hongera. Na unahitaji utulivu...tulia.
Km huyu ndo anatembea na hela yangu ya supu keshoK
atanguliwa 2-1
Nadhani save ziko poa zaid maana zinaanzia na 3.5 over
13Wakamaria wenzangu nawasalimia sana.
Naomba kuuliza, hii jackpot ya betpawa mechi 17 huwa wanatowa bonus ukipatia kuanzia mechi ngapi ??
Asante sana mkamaria mwenzangu ✅
huwa sichukui mikeka ya watu mkuuMhindi ndio anataka watu kama nyie haya nenda kamfate game ijayo akisema tena inaonesha umeingia Jana kwenye hii tasnia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]