Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Shukran kwa kutupa mbinu
 
Search MT proxy huko telegram then chagua yoyote , kila proxy ina batani ya kuconnect, utaibonyeza. Kabla ya kuingia tumia vpn ila proxy ikishaconnect itakuwa haina haha ya vpn. Utakuwa unaingia kama kawaida tu
Imefanikiwa mkuu, πŸ™
 
Hadi link kwani hakuna sehemu ya kuverify kwenye app ya sportybet? Kwanini wasiweke kule hili kurahisisha?
 
Hadi link kwani hakuna sehemu ya kuverify kwenye app ya sportybet? Kwanini wasiweke kule hili kurahisisha?
Halafu eti kuverify hadi uingize detail zako!! Tusije tukadunguliwa kimasihara
 
Hadi link kwani hakuna sehemu ya kuverify kwenye app ya sportybet? Kwanini wasiweke kule hili kurahisisha?
nimehangaika sana kwenye app, lakini sijaona. inabidi waweke icon ya kuverify code
 
Halafu eti kuverify hadi uingize detail zako!! Tusije tukadunguliwa kimasihara
umetumia browser ambayo huitumii kubet, ndiyo maana inataka ulogin kwanza.

sportybet nao walichemka hapa. yaani mpaka kuverify code uwe loggen in?!. hiki kipengele ilitakiwa uview bila hata kulog in.
 
Weka tena link ya Telegram kiongozi
 
MKEKA WA SIKU KWENYE 888STARZ.

Booking Code: CDQBL

Jisajili 888STARZ Leo Kwa Kubonyeza Link Hizo Hapo Chini Kama Huna Akaunti. Sehemu Ya Promo Code Weka Neno TIPS2424 πŸ‘‡

888STARZ

888STARZ

Promo CodeπŸ‘‰ TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Wakati Wa Kujiunga Upate Bonus Ya Mpaka TZS 300,000.
 
Na kesho Liverpool yupo alikuwa amebania kikosi ili akacheze na Ac Milan mumufate tu 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…