Ha ha ha ha acha ukorofi.
Binafsi niseme tu namheahimu sana
Pdidy na naheshimu sana jitihada zake..
Ijapokuwa naamini code zake huwa hazina msaada kwa wakamalia maana anadondosha mingi kiasi kwamba mtu anaona kama jamaa kaamua tu na ikitokea mtu kuchukua basi kwa kuona ngoja niende na hii...
Pdidy kama angeweza kubadilisha chaguzi zake kuwa pesa kwa wadau basi jamaa ana jicho flani hivi..
Ila kwa sasa anachokifanya ni kama site za prediction tu ,, matimu kibao chagua mwenyewe kitu ambacho ni 50/50
Ushauri wangu mwamba tupia mikeka hata miwili au mitatu, atakuwa bonge la msaada kwa wadau,,, ila anapotoa timu cjui 30+ mmh
Ila mwamba ana jicho flani hivi , sema ni kama hajiamini ndo maana anatupia tu kila anachokiona...
Samahani
Pdidy kama nimekukwaza ni ka mtazamo kangu tu,,, na nitaendelea kuheshimu unachokifanya maana kuna muda maji mengi , naokota yako moja natembea !!!