Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

HOME TEAMS TO SCORE Just 1 Goal
98% Sure Game. ✅🔥🤩🏆💰🎉✅

Aston Villa
Tottenham
Chesterfield
Shamdon Taishan
Dynamo Dresden
Energie Cuttbus
FC Ingolstadt
SV Wehen
FC Oleksandriya
Jagiellona
Kongsvinger IL
Pendikspor
Barry Town
Burnley
Sheffield United
Alloa
Peterborough
Wrexham
Barrow AFC
 
BBFFDF8
 
888 ******* kweli, options za kudeposit wameziweka, za kutoa hamna, ngoja nikampe tu mrusi 10% yake
 
Teams to win this weekend 🍺

England league 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
- Liverpool
- Leeds
- Aston villa

Spainish LaLiga 🇪🇸
- Real Madrid
- Atlético Madrid

France Ligue 1🇫🇷
- PSG
- Lille
- Monaco
- Marseille

Germany Bundesliga 🇩🇪
- Bayern Munich
- Frankfurt
- Bochum
- Bayern Leverkusen

Netherlands Eredivise
- PSV
- Feyenoord
- Twente
- Utrecht

Denmark Superliga🇩🇰
- Midtjylland
- Brondby

Portugal 🇵🇹
- Sporting

Turkey super lig🇹🇷
- Besiktas
- Galatasaray
 
0E0D935
 
Hii kampuni na iogopa km ukomaa niliibiwa pesa baada ya kufungaga mobile payment,******* walinihack na kuniibia vijidolar vyang 105 niliumia san had na leo naogopa san bet nisizo sifaham kwa undan
 
Wamefunga hadi Skrill maboya hawa sijui ndio wanataka watupige
Ogopa matapeli hao waliniibiaga mwaka huu mwez wa 1,kwa styl hiyo hyo hakun njia ya kutoa pesa nikatumia perfect money aseh sitokuj kusahau walinihack vby san na kuchange pasword na kutoa pesa nilichokuj kukuta ni dola 1 imebak ktk 100 alaf login from turkey,kmmk
 
Hatari sana mi nilijichanganya nikideposit kwa mazoea nataka kutoa nakuta blank
 
Hatari sana mi nilijichanganya nikideposit kwa mazoea nataka kutoa nakuta blank
Hiyo ndio mbinu yao ya kuiba huwez niambia njia ya deposit iwepo alf wirthdrw haipo km sio kusud n nn!?nawajua hao mm cn ham nilirud tu 1xbet bora nipigizane kelele na mawakala lkn pesa yang ipo salama kuliko hao waizi
 
Makampuni ya kirusi unaweza kupoteza pesa zako kama utani hivi. Yani unakua na stress na hela zako mwenyewe.

1xbet
22bet
Helabet
Paripesa
888starz
Melbet

Muda mwingine unaweka kwa simu, ukitaka kutoa hela unakuta mitandao ya simu imeondolewa, unapanick unajikuta ile hela unaibetia tena inapondwa unabaki na 0.
 
Hii kampuni na iogopa km ukomaa niliibiwa pesa baada ya kufungaga mobile payment,******* walinihack na kuniibia vijidolar vyang 105 niliumia san had na leo naogopa san bet nisizo sifaham kwa undan
Mkuu kampuni yeyote ambayo anuani yake sio .co.tz na inatumia .com basi jua haijasajiliwa Bongo ila ni wajanja tu wameamua kuipa promo wapige kamisheni, na ikiweka mobile payment haiwezi kuchukua muda zitatolewa sababu ina operate bongo kwa njia za panya zisizo halali

Kwa usalama zaidi tumia njia mbadala kuweka na kutoa kama crypto, wakala nk lakini sio mobile payment...... UTAPIGWA

In short kampuni za jamii ya 1xbet ni nzuri sana lakini changamoto yao ni bet at your own risk⚠️

Sitawasahahu 22bet, nyau kabisa walisepa na hela yangu ndefu sana aisee
 
Mimi kidogo wachukue chao yaani kidogo..nikasema ngoja niache niitafute alternative ya kutolea pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…