Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna mtu alisema mchana ft 0/0 nshakanda ov zangu ngoja tuonee aisee ßmvitahii
 
1000000281.jpg
 
Mikeka 5
Minne nime Cashout fastaaa

Huo mmoja wa Mzee MAGOMA NDIO natembea nao,yaani nianze weekend na ke deposit? Hapana

🤣🤣🤣
 
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)

2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...

I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...

II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....

H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...

A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
HUYU MWAMBA AOIEANZISHA HII THREAD AMEENDAGA WAPI....AMA ALIKUTANA NA OITU KIZITO

MKU ROCKCITY UKUJE BANA HII KAZI NGUNU SANA LOH

UNAMKWEPA ARSENAL UNAJAA KWA BARCELONA
 
Back
Top Bottom