Huyo atakuwa Degerfors vs Gefle🤣🤣🤣Daaah najuta kuweka kitimu cha Sweeden kwenye mkeka wangu
Yaani Sweeden, Denmark,Poland kote huko mwendo wa over 1.5 tuu,ila Direct Win zinaujinga mnooElfsborg nae anakandwa eti, ila sweden
Ana red cardElfsborg nae anakandwa eti, ila sweden
Muda bado mkuu, Barcelona anashinda hii gameBarcelona anatusalimia hata doube chance hatoi leo
Mkuu ulisemaPagumu hapo
Naona wameongezaMonaco vs Barcelona (Goal scorer Lamine Yamal)
Atletico Madrid vs Leipzig (Goal scorer Julian Alvarez)
View attachment 3100657
Zipo wakituliaMnaongalia game ya arsenal vp goli mbili zpo ?