Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda bado mkuu, Barcelona anashinda hii gameBarcelona anatusalimia hata doube chance hatoi leo
Mkuu ulisemaPagumu hapo
Naona wameongezaMonaco vs Barcelona (Goal scorer Lamine Yamal)
Atletico Madrid vs Leipzig (Goal scorer Julian Alvarez)
View attachment 3100657
Zipo wakituliaMnaongalia game ya arsenal vp goli mbili zpo ?
Mechi za kikurujuana sana hizi achatyuMnaongalia game ya arsenal vp goli mbili zpo ?
Mechi za kikurujuana sana hizi achatyuMnaongalia game ya arsenal vp goli mbili zpo ?
Betpawa kwenye cash out wahuni sana,timu kumi nane zimetoa dk 70 hawakupi hela!
Ungevuka arsenal alikuwa anakusubiria vita n kubwa sana aisee na mikeka miwili mmoja ov 1 5 mwingine 0.5
HUYU MWAMBA AOIEANZISHA HII THREAD AMEENDAGA WAPI....AMA ALIKUTANA NA OITU KIZITOKaribuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)
2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...
I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...
II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....
H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...
A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...