Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nikimbilie kucashout nakutana na kitu kizito haya bana arsenal all dbest
 
barca kapita na treni languuu aiseeee kazinikwamhindikunakazii dah
Kule arsenal kaoita na kakumi kangu

Yote heri kupumzika kesho nayo kazi
 
Attachments

  • Screenshot_20240920_002258_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    Screenshot_20240920_002258_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    159.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240920_002344_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    Screenshot_20240920_002344_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    163.7 KB · Views: 4
Wakuu naomba kuuliza nimeona kuna baadhi ya stats kama shots on, saves zinakuwa zinatofautiana kutokana na livescore app husika mfano flashscore.com livescore.com n.k

Sasa naomba kuuliza Ipi inakuwa na taarifa sahihi au za ukweli maana hapa sielewi
 
Tumia sofascore au aiscore wapo vizuri
 
Back
Top Bottom