Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kweli kabisa mkuu😂😂😂 ila kati ya hao 1x ni uhakika, shida walipoanzisha kodi tu
 
Nifafanulie hapo bet risk kwa 1xbet kivip
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nifafanulie hapo bet risk kwa 1xbet kivip
1xbet haijasjili Tz mkuu
Kampuni halali ni zilizosajiliwa Bongo na bodi ya bahati na sibu na lazima itumie anuani ya .co.tz
Hawa hata wakikudhulumu unakwenda kuwashtaki bodi ya bahati nasibu na unapata haki yako

Hizo zingine sio kampuni halali tunabet kwa njia za panya tu
Hata wakikupiga hauna pa kwenda kulalamika mkuu
 
Nmekusoma mkamaria
 

Wewe jamaa.........sasa tutumie bet ipi yenye usajili hapa na yenye option inayoingiliana?
 
Wiki iliyopita nilitembea na kama hii kwa double chance bado liverfool akachana 😂

Ngoja niende nayo tena kwa DC
 
ODDS 5 ZA LEO KWENYE PARIPESA, CODE SAA 5:30.


Kama Huna Akaunti Ya PARIPESA Jiunge Kwa Kubonyeza Link Hizo Hapo Chini Na Promo Code Weka Neno👉 TIPS2424

PariPesa

PariPesa

Promo Code👉 TIPS2424

PARIPESA HAINA MAKATO YA KODI YA ASILIMIA 10 UKIJISAJILI KWA KUTUMIA LINK HIZO HAPO JUU NA PROMO CODE👉 TIPS2424

CODE YA MKEKA SAA 5:30 ASUBUHI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…