Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1xbet haijasjili Tz mkuu
Kampuni halali ni zilizosajiliwa Bongo na bodi ya bahati na sibu na lazima itumie anuani ya .co.tz
Hawa hata wakikudhulumu unakwenda kuwashtaki bodi ya bahati nasibu na unapata haki yako

Hizo zingine sio kampuni halali tunabet kwa njia za panya tu
Hata wakikupiga hauna pa kwenda kulalamika mkuu
1xbet wanakata kodi wanampelekea nani?
 
Sababu zipi zinafanya useme City atashinda kwa Arsenal? Mtazamo wangu mimi Arsenal atashinda. Kwa usalama wa pesa yako Weka Handicap ya 1.5 kwa Arsenal au total goals under 2.5. Timu zote zime struggle kimataifa, kila timu ni mechi ya kufa na kupona. Arsenal kwa City hajawa mnyonge kwa muda sasa. Huu ni utabiri tu, mengine tukutane uwanjani
Mpira ukiisha ndio utajiona upo sahii au haupo sahii usijifanye mjuaji kabla nenda kaangalie arsenal mwisho kushinda lini pale Etihad
 
N4PRR

Mwenye pesa aweke balance nzuri hapo👆🏻 Helabet code number 👉🏻N4PRR

Utanishukuru baadae🚶🏻🚶🏻🚶🏻
 
Mpira ukiisha ndio utajiona upo sahii au haupo sahii usijifanye mjuaji kabla nenda kaangalie arsenal mwisho kushinda lini pale Etihad
Niambie wewe mara ya mwisho Manchester City amempiga Arsenal lini. Nipe takwimu za msimu uliopita.
 
Mpira ukiisha ndio utajiona upo sahii au haupo sahii usijifanye mjuaji kabla nenda kaangalie arsenal mwisho kushinda lini pale Etihad
Kama ulikuwa hujui nakujuza hii "Kwenye game tatu za mwisho ambazo walikutana msimu uliopita, gemu mbili wametoka sare, na gemu moja Arsenal kashinda na Arsenal alishinda huku akiwa hana ubora mkubwa kama aliokuwa nao city". Tuseme Manchester city ni bora, kwenye gemu za kimataifa hajamfunga inter, kadhalika na Arsenal hajamfunga Atalanta.
 
Tukutane after mechi Sina mda wa kubishana
 
View attachment 3101851
22 ODDS ON PARIPESA. TODAY'S PICKS

Huna Akaunti Ya PARIPESA? Jiunge PARIPESA Kwa Kujisajili Kupitia Link Hizo Hapo Chini Na Promo Code Weka [emoji117] TIPS2424

Jiunge Hapa[emoji117] PariPesa

PariPesa

PROMO CODE[emoji117] TIPS2424

Code Ya Mkeka: HF45R

Hakuna Makato Ya Kodi Ukijiunga PARIPESA Kwa Kutumia Link Hizo Hapo Juu Na Promo Code TIPS2424 .
Mkuu hiyo stake kwa odd 22 umejilipua mno, big up
 
BETIKA BETIKA BETIKA

Young Man vs CBE ndaniiiiiii

SPORTBETY wanazingua Mechi haipo

Screenshot_20240921-140325.png
 
Hivi mnajua nina treni langu la timu 48,timu 18 zimetoboa bado 30,halafu hata option ya cash out Sportybet hawaweki, tokea J4 ni ushindi tu.
 
Back
Top Bottom